Juzi ulikuwa Simba, jana ukawa Azam na leo hii umekuwa Yanga, hivi utaacha lini udangaji?Kwaza niombe samahani Kwa kutowaletea uchambuzi humu jf ....mwaka huu jobless sina so nina kosa muda
Back to the topic
Kama Azam angeshinda.....basi angeongeza pressure Kwa Yanga since gap la point lingepungua....hii ni mbaya Kwa Yanga na Taifa
Kama Simba angeshinda.....basi kelele + Gap la point lingekuwa hatari Kwa Yanga na Taifa
Therefore....draw hii imeleta equilibrium ( mlinganyo) Kwa mliokimbia shule[emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Yah but ngoma itaenda hivi hivi....Ligi bado sana bwana mdogo, tuliza kifimbi hicho.
By professional sisi wachambuzi..,hizi timu zote TZ ni zetuJuzi ulikuwa Simba, jana ukawa Azam na leo hii umekuwa Yanga, hivi utaacha lini udangaji?
Let's seeUnstable equilibrium hiyo uto.Huwezi kuelewa maana pale uto ambao zimo ni wa2
Bila shaka ni ww ni mshabiki wa Simba [emoji1][emoji1]Tafuta ela wewe ujenge kesho ya kizazi chako unashangilia watu wako kwenye majukumu ya kujenga misingi ya vizazi vyao mzee yanga na simba hata wafungwe watalipwa tuu posho na mishahara haijalishi mzeee mi sijihangaishi usfungwe usifungwe kulaleki naangalia nimeigiza nni
Ukiona mtu anapigia hesabu mechi za wenzake, ujue kwake ameshaona dalili si njema huko mbele πππKwaza niombe samahani Kwa kutowaletea uchambuzi humu jf ....mwaka huu jobless sina so nina kosa muda
Back to the topic
Kama Azam angeshinda.....basi angeongeza pressure Kwa Yanga since gap la point lingepungua....hii ni mbaya Kwa Yanga na Taifa
Kama Simba angeshinda.....basi kelele + Gap la point lingekuwa hatari Kwa Yanga na Taifa
Therefore....draw hii imeleta equilibrium ( mlinganyo) Kwa mliokimbia shule[emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Adui..... muombee njaa [emoji23]Ukiona mtu anapigia hesabu mechi za wenzake, ujue kwake ameshaona dalili si njema huko mbele [emoji16][emoji16][emoji16]
Simba hawatakubaliYanga anahitajika kumfunga Simba na Azam anachukua ubingwa. Nihesabu ambazo miaka yote zinampa ubingwa Yanga.
LIVERPOOL tanzania hamna mpira mzee meingiza siasa mpaka kwenye mpira hamna kitu.Bila shaka ni ww ni mshabiki wa Simba [emoji1][emoji1]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Simba ya kina Babacar, Chama, Ngoma, Mzamiru, sijui Kapombe, Manula na Mangungu haitotokea imfunge Yanga hii ya Diara na kina Max au Aucho... Never
Hata ulaya...siasa zipo kwenye soka....siasa kwenye soka ni unkwepableLIVERPOOL tanzania hamna mpira mzee meingiza siasa mpaka kwenye mpira hamna kitu.
Yenye Boko kabisa [emoji23]Simba ya kina Babacar, Chama, Ngoma, Mzamiru, sijui Kapombe, Manula na Mangungu haitotokea imfunge Yanga hii ya Diara na kina Max au Aucho... Never