Mimi ni Yanga ila nimefurahia hii draw ya Makolo na Azam

ccm wakiwa na jambo lao kwenye taifa limeenda hovyo lazima ilazimishwe daby watuachie mpira wetu kwanza waachie hizo team zilwe na viwanja vyao ziingize mapato yao.
 
si kama bongo mzee wangu huku hata sio kwa kukpepesa kaka leo simba n yanga ni wakutokuwa na uwanja? kisa tff itapata wapi mapato ya uwanja wa taifa?
Level ya uchumi pia inachangia mkuu.... kujenga uwanja ni kipengele sana

Pia upigaji ni mwingi sana Kwa timu zetu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Level ya uchumi pia inachangia mkuu.... kujenga uwanja ni kipengele sana

Pia upigaji ni mwingi sana Kwa timu zetu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
hpana azam aliwezaje we huoi team za ulaya mpaka leo wanapanua uwanza kwani umeambiwa unajenga uwanja wa shabiki elfu 60 unaaanza hata na elf 30 the kama unaona ongezeko la mashabiki hata kenye match ambazo sio za dby unapanua kila mwisho wa msimu kaka
 
Uzuri zikianza kudondoka point za uwanjani point za malalamiko zinajulikana.

1."TFF wanaibeba simba"
2."Simba ina ratiba nyepesi"
3."Timu ndogo zinalipwa kutukazia"
4."Marefa huwa wanatuonea sana"
5..........
6.........
7.........
8........
 
Level ya uchumi pia inachangia mkuu.... kujenga uwanja ni kipengele sana

Pia upigaji ni mwingi sana Kwa timu zetu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
hilo la upigaji nakubaliana nalo afu wanaongelea mambo kiwepesi hebu fikiria uwanja wa kaunda msemaji aliongela juzi kwa level ya yanga pale hata parking ya gari tuu inatosha? wasituchukulie mafala.
 
Tatizo mchwa wengi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Uzuri zikianza kudondoka point za uwanjani point za malalamiko zinajulikana.

1."TFF wanaibeba simba"
2."Simba ina ratiba nyepesi"
3."Timu ndogo zinalipwa kutukazia"
4."Marefa huwa wanatuonea sana"
5..........
6.........
7.........
8........
Azam wamewazidi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…