Mimi nikichomeka mke wangu anachomoa

TzComedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
890
Reaction score
700
Eti kanipa limbwata! Limbwata?, kanipa limbwata wakati tumekubaliana niwe nachomeka usiku naye anachomoa asubuhi?

Kwani kuna shida gani iwapo mimi nachomeka na yeye mke wangu anachomoa Net ya mbu?, Nitachomeka naye atachomoa kwa vile yeye anapenda kuchomoa ninapochomeka neti usiku maana inatukinga na malaria na hasa ukizingatia tuna kichanga.

Wenye kusema waseme tu kuwa kanipa limbwata lakini sitoacha kuchomeka mana yeye anapenda kuchomoa asubui mara baada ya mimi kuchomeka usuku.

Nimalizie tu kwa kusema tumekubaliana iwe mimi nachomeka naye anachomoa na wala sio kweli kwamba kwa kuchomeka neti ndio kusema kanipa limbwata.
 
Mleta mada una akili finyu kama benki iliyokaukiwa mtaji. Unastahili kufungiwa na BoT KABLA HUJALETA MADHARA KWENYE UCHUMI WA VIWANDA.
 
Unachomekwa ww
 
Pole sana...

Embu ongea nae vizuri...
Ukichomeka yeye anawe anachomekea...


Cc: mahondaw
 
Unaweza kuta huyu mtoa mada ana kitambi cha kufa mtu. JF imesaidia sana watu kujificha na kufunguka.
 
WEKA PICHA ILI TUONE UNAVYOCHOMEKA NA MKEO ANAVYOCHOMOA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…