TzComedy
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 890
- 700
Eti kanipa limbwata! Limbwata?, kanipa limbwata wakati tumekubaliana niwe nachomeka usiku naye anachomoa asubuhi?
Kwani kuna shida gani iwapo mimi nachomeka na yeye mke wangu anachomoa Net ya mbu?, Nitachomeka naye atachomoa kwa vile yeye anapenda kuchomoa ninapochomeka neti usiku maana inatukinga na malaria na hasa ukizingatia tuna kichanga.
Wenye kusema waseme tu kuwa kanipa limbwata lakini sitoacha kuchomeka mana yeye anapenda kuchomoa asubui mara baada ya mimi kuchomeka usuku.
Nimalizie tu kwa kusema tumekubaliana iwe mimi nachomeka naye anachomoa na wala sio kweli kwamba kwa kuchomeka neti ndio kusema kanipa limbwata.