Nkyambe JF-Expert Member Joined Mar 18, 2017 Posts 274 Reaction score 201 Jan 15, 2018 #21 Nunueni net ndefu ya kufika sakafuni maana kwa hiyo kazi ya mmoja kuchomeka usiku na mwingine kuchomoa asubuhi kila siku mtakuja kuota vibiongo bure!
Nunueni net ndefu ya kufika sakafuni maana kwa hiyo kazi ya mmoja kuchomeka usiku na mwingine kuchomoa asubuhi kila siku mtakuja kuota vibiongo bure!
Doto Dotto JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 3,906 Reaction score 2,902 Jan 15, 2018 #22 Tayizo lako Wewe hujui kuchomeka ndo maana, sasa mwambie huyo wife wako akuchomekee kwako, hlf c unatumia lain ya tigo utatuletea mrejesho kwa msg
Tayizo lako Wewe hujui kuchomeka ndo maana, sasa mwambie huyo wife wako akuchomekee kwako, hlf c unatumia lain ya tigo utatuletea mrejesho kwa msg
opudojunior Senior Member Joined Mar 8, 2016 Posts 168 Reaction score 102 Jan 15, 2018 #23 Sa si uchomeke tena, watu wengine buana