Mimi nikifika tuu, dakika 10 nyingi wanaanza

Mimi nikifika tuu, dakika 10 nyingi wanaanza

Wakuu salaam...

Naishi uswazi..ile nyumba kubanana, milio ya mafeni usiku kucha na maredio. Kutokana na mishe zangu huwa inanilazimu kurudi home kati ya saa 7 usiku au 8usiku ndio naingia ndani.

Nawasha taa, kisha nafanya maandalizi ya kulala. Maana naishi peke yangu. Kutokana na mbanano wa nyumba na madirisha kutazamana ni rahisi kwa jirani kujua nimesharudi.

Dakika 10 hazitimii chumba ambacho natizamana nao madirisha naanza kusikia mlio wa paaaa paaa paaa paaa fokoo fokooo fokooo, huwa nahisi wanakuwaa wanagegedana.
Na leo muda mfupi ulio pita ni mara ya 3 hii.

Je wakuu, hawa raia wana maana gani? Au mimi nikirudi ndio nakuwa nimewazindua ama?

Mrejesho:Mpaka naamka muda huu sikufanikiwa kusikia chochote.
Namsikia mke wa jamaa hapo nje anamuambia mwenzake jamaa kasafiri kenda Pemba kwao.
Iko hivi;Mimi napenda sana watoto hivyo hata kitaa hapa ndio rafiki zangu wakubwa(japo ni hatari kwa huku Zenji)
Ikitokea siku nimerudi mapema huwa nakuja na pipi au biskuti za kutosha nawapatia kama zawadi(Zanzibar wanaita sadaka)
Sasa tabia hii imepelekea wamama kwa wadada kunipenda sana lakini nawakwepa sina namna maana huku ni hatari kugusa mwanamke,umzamishe geto utashangaa haoooo na majamvi Wametupia kanzu.
Sasa nahisi huyu jamaa Mpemba ana wasiwasi kuwa naweza pita na huyo wife wake.
Jamaa zamani tulikuwa tunasalimiana fresh,sikuhizi hakuna na nikimsalimia ananyamaza tuu mpaka nikaamua kuacha.

Wacha mazoea na:

1. Wake za watu.
2. Watoto wa watu.

Hautakupunguzia chochote.
 
...nunua sabufa au spika afu tafuta nyimbo zile zenye mikito ya maana Techno au EDM na singeli... Wakianza tu unaweka volume 25 uone kama hawatapunguza...
 
Naskia zanzibar hakuna bar msururu kama huku kwetu hata kwa mangi unapata beer
[emoji23]tatizo wabinafsi sana afu kdogo tu unapigwa jini kambare... Mbaya zaid hakuna offa za bia ndo ujue... Panafaa [emoji23]
 
[emoji23]tatizo wabinafsi sana afu kdogo tu unapigwa jini kambare... Mbaya zaid hakuna offa za bia ndo ujue... Panafaa [emoji23]
NIngekuwa nakaa zenji ningefungua stoo ya kilevi nyumbani kwangu...najaza vinywaji natangaza kwa washkaji wawe wanakuja anytime kununua
 
NIngekuwa nakaa zenji ningefungua stoo ya kilevi nyumbani kwangu...najaza vinywaji natangaza kwa washkaji wawe wanakuja anytime kununua
[emoji23] na sisi wa soda mbna umetuacha mkuu
 
...nunua sabufa au spika afu tafuta nyimbo zile zenye mikito ya maana Techno au EDM na singeli... Wakianza tu unaweka volume 25 uone kama hawatapunguza...
🤣
 
Achana nao Mkuu usiruhusu Akili yako kuwasikiliza waache Kama walivyo Muda wa saanane huwa ni Muda mzuri wa kutafuta ushirika na Mungu na sio kuwaza au kufanya ngono .

so stay greatful keep Good first .
 
...jitahidi uwe unarejea mapema nyumban unalala saa4 ili ikifka hyo saa 8 wewe upo usingizini Hausikii chochote... Au hama kabisa
 
Back
Top Bottom