kaiy business man
New Member
- Dec 25, 2024
- 4
- 10
Habari waungwana mimi nikijana ambae nimeshindwa kuendelea na chuo, na ninamtaji wa laki tatu na ninaitaji kufnya biashara ya viatu vya kike nifanyaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo wapi na ume target vya mtumba
MtumbaUpo wapi na ume target vya mtumba au special?
Asante mkuuAnza sasa hivi, Kachukue mzigo, Anza kwa kutembeza, huku unatafuta Location nzuri.
Usifocus kwenye office, Focus kwenye mauzo kwanza.
You don't have time as you think.
Mda ni mchacheMambo ni mengi
Kongole kwako mkuu kwa uthubutu.Habari waungwana mimi nikijana ambae nimeshindwa kuendelea na chuo, na ninamtaji wa laki tatu na ninaitaji kufnya biashara ya viatu vya kike nifanyaje
Kwahiyo hata asiesoma.anaweza fanya kazi na weweUnaweza kutoa sababu za kutoendelea na chuo?
Unapatikana wapi kaka?
Unaweza kufanya kazi ya uvuvi uongeze capital ifike 500k?