Mimi nikijana ambae nimeshindwa kuendelea na chuo, na ninamtaji wa laki tatu nataka kufanya biashara ya viatu vya kike. Naombeni ushauri

Habari waungwana mimi nikijana ambae nimeshindwa kuendelea na chuo, na ninamtaji wa laki tatu na ninaitaji kufnya biashara ya viatu vya kike nifanyaje
Kongole kwako mkuu kwa uthubutu.

wenye ujuzi watakuja kukupa maelezo zaidi
 
Unaweza kutoa sababu za kutoendelea na chuo?
Unapatikana wapi kaka?
Unaweza kufanya kazi ya uvuvi uongeze capital ifike 500k?
 
Tumia Instagram na Facebook kujitangaza siku hizi wateja wapo mtandaoni. Weka nguvu Facebook
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…