Mimi niko tayari kuhesabiwa. Wewe je?

Mimi niko tayari kuhesabiwa. Wewe je?

Abuhafsa

Member
Joined
Aug 11, 2022
Posts
5
Reaction score
3
Habari
Usiku wa kuamkia tarehe 23/8. Ni siku ya Sensa na itabaki kuwa tarehe rejea ya siku ya sensa. Kuhesabu Watu kutaendelea kwa takribani siku 6 hadi saba kwa kuzingatia tarehe rejea. ieleweke kuwa sensa haiwezi kukamilika kwa siku moja kwa nchi nzima. Hivyo hata ukipumzika inawezekana siku hiyo Kaya yako isifikiwe hivyo hakuna mantiki ya kupumzika kwa wale wanaofanya vibarua au Kazi za kila siku. Unachotakiwa kufanya ni kuorodhesha na kuandika kwenye karatasi watu wote watakaolala Kwenye kaya yako usiku wa kuamkia siku hiyo,

Taarifa muhimu ni pamoja na:
1. Jina kamili (matatu)
2. Jinsia (me/ke)
3. Umri
4. Hali ya ndoa
5. Namba ya simu
6. Namba Nida
7. Taarifa za Elimu
8. Taarifa za hali afya
9. Umiliki wa Ardhi, Majengo, vifaa/rasilimali
10. Taarifa ya Shughuli za Kiuchumi
11. Mengineyo (uraia)

Pamoja na kuacha Taarifa hizo karani atakupigia simu kuhakiki Taarifa ulizoacha tafadhali toa ushirikiano.

Mimi niko tayari kuhesabiwa . WEWE je?
 
Naunga mkono hoja, nami niko tayari kamili gado kuhesabiwa Agost 23, Tujitokeze Kwa Wingi Kuhesabiwa, Ili Kuiwezesha Serikali Yetu Kujipanga Kimipango Mkakati ya SMART, Kutuletea Maendeleo!.
P
 
Mimi siko tayari..mana hakuna faida yoyote ya kuhesabiwa..kwasababu hatujaanza kuhesabiwa leo..na ahadi zimekuwa ni zile zile..wakati hali ya maisha kwa wananchi haibadiliki.

Haya mazoezi yamekua kama danganya toto kama vile ahadi za kwenye uchaguzi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Habari
Usiku wa kuamkia tarehe 23/8. Ni siku ya Sensa na itabaki kuwa tarehe rejea ya siku ya sensa. Kuhesabu Watu kutaendelea kwa takribani siku 6 hadi saba kwa kuzingatia tarehe rejea. ieleweke kuwa sensa haiwezi kukamilika kwa siku moja kwa nchi nzima. Hivyo hata ukipumzika inawezekana siku hiyo Kaya yako isifikiwe hivyo hakuna mantiki ya kupumzika kwa wale wanaofanya vibarua au Kazi za kila siku. Unachotakiwa kufanya ni kuorodhesha na kuandika kwenye karatasi watu wote watakaolala Kwenye kaya yako usiku wa kuamkia siku hiyo,

Taarifa muhimu ni pamoja na:
1. Jina kamili (matatu)
2. Jinsia (me/ke)
3. Umri
4. Hali ya ndoa
5. Namba ya simu
6. Namba Nida
7. Taarifa za Elimu
8. Taarifa za hali afya
9. Umiliki wa Ardhi, Majengo, vifaa/rasilimali
10. Taarifa ya Shughuli za Kiuchumi
11. Mengineyo (uraia)

Pamoja na kuacha Taarifa hizo karani atakupigia simu kuhakiki Taarifa ulizoacha tafadhali toa ushirikiano.

Mimi niko tayari kuhesabiwa . WEWE je?
Niko tayari
 
Back
Top Bottom