Daah!! Ngoja wajeHabari zenu wadau,
Mimi niliaaply vyuo nikaconfirm IRDP nashangaa sasa nipo chuoni uku IRDP majibu ya mkopo(HESLB) yametoka mkopo umeelekezwa chuo cha CBE Dar es salaam badala ya IRDP Apa ndo sielewi hatima yangu inaenda kuaje kuhusu huu mkopo.
Ivi Kuna uwezekano wa kuhamisha mkopo kuja chuo nilichoconfirm cha IRDP Au nifanyaje hapa wajuzi wa haya mambo
naombeni msaada wenu viongozi
Still anataka na pesa ya serikali akaiangamizie kwenye kubeti na shisha. Mola atusaidie tu kwa kweliHawa ndo wasomi kiswahili ni shida:
Uku
Apa
Atakuwa Isti zuu...Upo IRDP kisesa Mwanza?
Shukrani mkuu ngoja nimtafuteUsijari dogo hata mimi yaliwahi nikuta. Ila mkopo wako utapata ondoa stress. Ongea na loan officer wako wa chuo atakwambia cha kufanya ila uwe mpole utachelewa boom kama miezi 2 kulipata
🙏, process zake zipoje bossDah iyo ishu itakupotezea muda wa masomo ingawa inawezekanaShukrani boss
Ndio mkuuUpo IRDP kisesa Mwanza?
Mbona simole tu yeye aachane na IRDP akasome CBE huko huko mkopo ulipoHii mpyaa, mtu awe chuo kingine, na mkopo wake uko chuo kingine?
Hakna mawasiliano mazuri baina ya TCU na HELSB?
Poleee kijanaa.
Sawa, Asante nitasiburi tuKuhamisha mkopo kutoka chuo kimoja kwenda kingine inawezekana, but inachukua muda, kama una uwezo wa kuvumilia miezi miwili au mitatu ya kusuburi mkopo uhamishiwe IRDP Anza registration kama huezi nenda CBE.