Habari zenu wadau,
Mimi niliaaply vyuo nikaconfirm IRDP nashangaa sasa nipo chuoni uku IRDP majibu ya mkopo(HESLB) yametoka mkopo umeelekezwa chuo cha CBE Dar es salaam badala ya IRDP Apa ndo sielewi hatima yangu inaenda kuaje kuhusu huu mkopo.
Hivi Kuna uwezekano wa kuhamisha mkopo kuja chuo nilichoconfirm cha IRDP Au nifanyaje hapa wajuzi wa haya mambo.
Naombeni msaada wenu viongozi