babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Hamna msomi hapa,huyu ni mwizi tu km wezi wengine.Still anataka na pesa ya serikali akaiangamizie kwenye kubeti na shisha. Mola atusaidie tu kwa kweli
Nawaza ada na meals nitapatia wapiii bila uwo mkopoHamna msomi hapa,huyu ni mwizi tu km wezi wengine.
Bora waendelee kumpiga spana tu mpk akome.
Mtu kaanza kudai boom kabla hata hajaanza kusoma.
We soma tu, piga kitabu. Mambo ya sijui msosi na ada yatakuja mbele ya safari. Au unataka kuoa chuoni?Nawaza ada na meals nitapatia wapiii bila uwo mkopo
Wahi CBE ukaendelee na masomo yako.Habari zenu wadau,
Mimi niliaaply vyuo nikaconfirm IRDP nashangaa sasa nipo chuoni uku IRDP majibu ya mkopo(HESLB) yametoka mkopo umeelekezwa chuo cha CBE Dar es salaam badala ya IRDP Apa ndo sielewi hatima yangu inaenda kuaje kuhusu huu mkopo.
Hivi Kuna uwezekano wa kuhamisha mkopo kuja chuo nilichoconfirm cha IRDP Au nifanyaje hapa wajuzi wa haya mambo.
Naombeni msaada wenu viongozi
Dogo Kama wewe nyumbani Kuna chembe chembe ya ukwasi kasome hichi chuo huku ukingoja hela Kama na wwe tupo katika lile fungu la watoto wa wakulima na ndugu yetu mizengo pinda nenda cbe kasome tena hata ukiitwa usigeuke ukishapoke boom lako ndo uanze kusikiluza maoni chunga Sana mdogo wangu ukishatoka kwenye keyboard ndo utajua muda huo hela ya kuprint assignment unampgia simu mzeeSawa, Asante nitasiburi tu
Pita PM wee mwanafunzi, ama hata PM hupajui 🤣🤣 Kuna maelekezo nimeyaweka hapoHabari zenu wadau,
Mimi niliaaply vyuo nikaconfirm IRDP nashangaa sasa nipo chuoni uku IRDP majibu ya mkopo(HESLB) yametoka mkopo umeelekezwa chuo cha CBE Dar es salaam badala ya IRDP Apa ndo sielewi hatima yangu inaenda kuaje kuhusu huu mkopo.
Hivi Kuna uwezekano wa kuhamisha mkopo kuja chuo nilichoconfirm cha IRDP Au nifanyaje hapa wajuzi wa haya mambo.
Naombeni msaada wenu viongozi
Kwisha,Habari zenu wadau,

Dogo kwa nini usinende kuuliza kwa Dean of Students au mtu anayehusika na mikopo kwenye hicho chuo ulichopo? mpaka ukimbilie huku JF tumejaa wazee, kwanza kwa nini haukusalimia, ohh kumbe ni wa 2000 sawaHabari zenu wadau,
Mimi niliaaply vyuo nikaconfirm IRDP nashangaa sasa nipo chuoni uku IRDP majibu ya mkopo(HESLB) yametoka mkopo umeelekezwa chuo cha CBE Dar es salaam badala ya IRDP Apa ndo sielewi hatima yangu inaenda kuaje kuhusu huu mkopo.
Hivi Kuna uwezekano wa kuhamisha mkopo kuja chuo nilichoconfirm cha IRDP Au nifanyaje hapa wajuzi wa haya mambo.
Naombeni msaada wenu viongozi
Huna process ya kufanya ila mchakato wote anafanya loan officer wenuSawa, Asante nitasiburi tu
inatokea iko hivi yawezekana huyo mwombaji alichaguliwa pia cbe na irdp huenda na chuo kingine pia kumbuka wengi wanafanyiwa app huko ma-stationary,huenda alicomfirm cbe ya kwanza na kisha akajitoa baadaye akacomfirm irdp wakati huo heslb walishamtambua kama mwanafunzi wa cbeHii mpyaa, mtu awe chuo kingine, na mkopo wake uko chuo kingine?
Hakna mawasiliano mazuri baina ya TCU na HELSB?
Poleee kijanaa.