GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Eric Benedict Hamissi kuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL).
Rais Samia alitengua uteuzi wa Hamissi mapema mwezi Julai mwaka huu na nafasi hiyo kuzibwa na Bw. Plasduce Mkeli Mbossa.
Taarifa: habarileo_tz
Kumbe basi tusilaumu sana na pia tusiwe na Shaka kwani huenda huko mbeleni akina Hapi, Lukuvi, Kabudi na hata Ole Sabaya akishinda Kesi zake wakarejeshwa tena katika Nafasi zao za Uongozi na Utawala kwani katika Watanzania Milioni 50+ wenye Uwezo wa Kufanya Kazi, Kutumbuliwa na Kurejeshwa tena Kazini ni hawa tu pekee na tuliobakia hii Keki ya Tanzania haituhusu ila Tutanyenyekewa hadi Kupigiwa nao Magoti ya Huruma na Machozi ya Mamba ( ya Kinafiki ) hapo Oktoba 2025.
Kazi ipo hakyanani Ewe Mola tusaidie.