Mimi nilidhani natoa huduma ya kwanza kumbe namalizia kuua

Ambatanisha na Picha za tukio ili kuondoa utata
 
Mauaji ya kudhamiria ningekuwa hakimu huyu tayari angekuwa buriani
Inawezekana kelele za majeruhi zilianza alipokanyaga kifua, seriously unamkanyaga mtu kifua ili umgeuze shingo? Naimagine nguvu ya mguu na mikono jinsi ilivyomkatisha uhai kabla hata shingo haijageuka[emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
[emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji34][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]ntake lazi weee mzee
Kosa lako ni kuacha maiti hadharani badala ya kuipeleka mochware Mshana Jr akaigegede

Jr[emoji769]
 


Yaani umekamatwa na kuachiwa mpaka kuja na kuandika haya? Ni polisi gani waliokushika nataka mawasiliano yao sasa hivi, iweje uwe na uhuru kihivi?
 

Kwa hiyo ni kwamba hadi sasa upo polisi na umeandika huu uzi ukiwa huko baada ya maafande kukupa simu au umempa wakili wako nywilia ya jf ukamwambia akuandikie huu uzi...!?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…