Mimi nimekata tamaa kabisa... Nimechoka...

Wanawake wa sasa tunajidhalilisha aiseh mhhh
 
Broo umeshindwa kuhendle hili jambo hadi umeamua kuja kusemela huku jf? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Moja ya komenti bora sana kuwahi kutokea hapa JF.
 
Masaa matatu baada ya kupewa namba

" Nadaiwa kodi,gesi imeisha na daiwa vikoba, kijumbe kaja anataka hela yake ya mchezo.......luku imeisha........ blah blah blah viatu sina ,begi langu mkanda umekatika.....la la la la la la...... kioo cha simu kivunjika, nywele zangu zimefumuka................sijui nini na nini........naomba UNISAIDIE LAKI 3",halafu anamalizia "YAANI SIJUI HATA NI FANYEJE..."

Mimi demu akianzaga hivyo na namba nafuta najua nimekutana na malaya.
 
Why wanakosa aibu kabisa? Miaka ya nyuma ilikuwa kumpa mwanamke pesa ni kwa kumlazimisha. Tena akija gheto halafu ukamla... Inabidi umpe pesa kwa tahadhali sana. Maana anaweza kukubadilikia kuwa unampa pesa inamaana umeona yeye anauza?...inabidi ujipange kumwambia hapana hiyo akampelekee mama yake n.k ndo anaweza kubali kwa shingo upande.
 
Mkuu kwani Tatizo ni hela uliyomwazima kuinyoea pombe ama? Kwani ilipomwazima hela ulimpangia na matumizi?.
 
Nipe namba zake PM nikakanye Tukiwa meza moja tukipata kilaji wikiend hii. Haiwezekani akusingizie mwana Jeiefu mwenzetu...

Embu fanya hivo tafadhali haiwezekani amfanyie hivo mwenzetu [emoji38]
 
Tulikubaliana hakuna kumuonea mwanamke huruma.

Kwanini umekwenda kinyume na makubaliano ya kikao chetu?

Alichelewa kwenye kikao alikua kapeleka gari service ndio maana yote haya yametokea…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…