Mimi nimekata tamaa kabisa... Nimechoka...

Mimi nimekata tamaa kabisa... Nimechoka...

Wanawake wa siku hizi mtatuua sisi wanaume ambao bado tunahisia za mapenzi.

Kuna sehemu huwa naenda mara moja moja kufanya service. Sasa kutokana na kuwa nikipeleka gari huwa napenda kusubiria hapo hapo kufuatilia utendaji wa fundi. Basi nikajenga mazoea ya kukaa kwenye kiduka flani ambacho pia
Wanawake wa sasa tunajidhalilisha aiseh mhhh
 
Broo umeshindwa kuhendle hili jambo hadi umeamua kuja kusemela huku jf? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
1. Mtaka nyingi nasaba upata mingi misiba. Acha kuanzisha urafiki ovyo ovyo.
2. Heshimu kila shilingi yako. Kama ilivyo ngumu kupatikana na iwe ngumu pia kutoka.
3. Wema ni nusu ya ujinga. Acha kusaidia watu ovyo always remember no good deeds goes unpunished.
4. KAA MBALI NA SINGLE MOTHERS.
5. Dunia haijawahi kuacha kuadhibu watu dhaifu especially wanaume dhaifu. Endelea kuwa dhaifu tutakutumia kama case study na mifano hai kuwahusia watoto na wajukuu wetu.
Moja ya komenti bora sana kuwahi kutokea hapa JF.
 
Masaa matatu baada ya kupewa namba

" Nadaiwa kodi,gesi imeisha na daiwa vikoba, kijumbe kaja anataka hela yake ya mchezo.......luku imeisha........ blah blah blah viatu sina ,begi langu mkanda umekatika.....la la la la la la...... kioo cha simu kivunjika, nywele zangu zimefumuka................sijui nini na nini........naomba UNISAIDIE LAKI 3",halafu anamalizia "YAANI SIJUI HATA NI FANYEJE..."

Mimi demu akianzaga hivyo na namba nafuta najua nimekutana na malaya.
 
Why wanakosa aibu kabisa? Miaka ya nyuma ilikuwa kumpa mwanamke pesa ni kwa kumlazimisha. Tena akija gheto halafu ukamla... Inabidi umpe pesa kwa tahadhali sana. Maana anaweza kukubadilikia kuwa unampa pesa inamaana umeona yeye anauza?...inabidi ujipange kumwambia hapana hiyo akampelekee mama yake n.k ndo anaweza kubali kwa shingo upande.
 
Mkuu kwani Tatizo ni hela uliyomwazima kuinyoea pombe ama? Kwani ilipomwazima hela ulimpangia na matumizi?.
 
Nipe namba zake PM nikakanye Tukiwa meza moja tukipata kilaji wikiend hii. Haiwezekani akusingizie mwana Jeiefu mwenzetu...

Embu fanya hivo tafadhali haiwezekani amfanyie hivo mwenzetu [emoji38]
 
Back
Top Bottom