commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,956
Hiyo inaitwa "self shooting" mama kuruhusu vyama vya upizani kuponda CCM na serikali ni 'political suicide' amuji-shooti mwenyewe mguni.Ni kama vile kuna mahali,kwa kauli na Matendo yake,amejilipua mwenyewe badala ya alichokitegemea!
Ebu na nyinyi nisadidieni
[emoji116][emoji116]View attachment 2505550
@CovaxHiyo inaitwa "self shooting" mama kuruhusu vyama vya upizani kuponda CCM na serikali ni 'political suicide' amuji-shooti mwenyewe mguni.
Very good Explanations mkuu mbenge !Hapo inaonyesha kuwa bastola bado haijafytuliwa, isipokuwa mkono upo kwenye "trigger" huku "barrel" ikiwa imeelekezwa mguuni. La sivyo kama ingalitumika tungaliona alama ya moshi kutoka, damu, na pia ishara ya mtu kugugumia kwa maumivu makali.
Uwepo wa bendara ya Tanzania katika kikaragosi hiki huenda ikawa ni ishara ya dola ya nchi yetu. Miguu ni mhimili mkuu wa mnyama yoyote yule aweze kusimama wima ama imara. Kwa hiyo huyo mtu kujielekezea mwenyewe mtutu mguuni ili kujilipua, ni dalili ya kuwa dola kwa kufanya vitu fulani fyongo inajihatarisha yenyewe ama hata kupelekea anguko lake lenyewe.
Wajuvi watadadavua zaidi.
Kiasi fulani umeelewa..Hapo inaonyesha kuwa bastola bado haijafytuliwa, isipokuwa mkono upo kwenye "trigger" huku "barrel" ikiwa imeelekezwa mguuni. La sivyo kama ingalitumika tungaliona alama ya moshi kutoka, damu, na pia ishara ya mtu kugugumia kwa maumivu makali.
Uwepo wa bendara ya Tanzania katika kikaragosi hiki huenda ikawa ni ishara ya dola ya nchi yetu. Miguu ni mhimili mkuu wa mnyama yoyote yule aweze kusimama wima ama imara. Kwa hiyo huyo mtu kujielekezea mwenyewe mtutu mguuni ili kujilipua, ni dalili ya kuwa dola kwa kufanya vitu fulani fyongo inajihatarisha yenyewe ama hata kupelekea anguko lake lenyewe.
Wajuvi watadadavua zaidi.
Mama ni Chadema wote ni njia moja, wapenda hakiMama na kauri zake juu ya utawala wa awamu ya tano,yeye anafikiri vinamjenga,pia kukaa anamnanga jpm,kutaiangusha serikali yake,
So brighter 🥰Hapo inaonyesha kuwa bastola bado haijafytuliwa, isipokuwa mkono upo kwenye "trigger" huku "barrel" ikiwa imeelekezwa mguuni. La sivyo kama ingalitumika tungaliona alama ya moshi kutoka, damu, na pia ishara ya mtu kugugumia kwa maumivu makali.
Uwepo wa bendara ya Tanzania katika kikaragosi hiki huenda ikawa ni ishara ya dola ya nchi yetu. Miguu ni mhimili mkuu wa mnyama yoyote yule aweze kusimama wima ama imara. Kwa hiyo huyo mtu kujielekezea mwenyewe mtutu mguuni ili kujilipua, ni dalili ya kuwa dola kwa kufanya vitu fulani fyongo inajihatarisha yenyewe ama hata kupelekea anguko lake lenyewe.
Wajuvi watadadavua zaidi.
Kuna mtu anaikatisha safari yake mwenyewe.Peku ni kukosa majukumu.Hahaha..... sijaelewa bado
MwiguluNi kama vile kuna mahali,kwa kauli na Matendo yake,amejilipua mwenyewe badala ya alichokitegemea!
Ebu na nyinyi nisadidieni
[emoji116][emoji116]View attachment 2505550
Masudi akichora huwa anaweka tarehe specifically hii ni catoon ya 25/09 ambapo kamati ya bunge au bunge lilikuwa halijamuhoji Mh. Mwigulu. Re-think againKiasi fulani umeelewa..
Lakini specific huyu ni Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba.
Amejikanganya na kujichanganya vilivyo ktk kujibu hoja za wabunge juu overpayment nje ya bajeti ya kiasi cha pesa zaidi 360bn kwa hoja zilizoibuliwa na kamati ya bunge na ripoti ya CAG.
Mwangalie hata kwenye picha. Yeye ndiye huvaa (mavazi) shati/tai yenye rangi hizo = national flag
Ok.. I understand now..Masudi akichora huwa anaweka tarehe specifically hii ni catoon ya 25/09 ambapo kamati ya bunge au bunge lilikuwa halijamuhoji Mh. Mwigulu. Re-think again
Katiba inaruhusu hilo...Hiyo inaitwa "self shooting" mama kuruhusu vyama vya upizani kuponda CCM na serikali ni 'political suicide' amuji-shooti mwenyewe mguni.
Ikifika miti yote huteleza !! Karma !Ni kama vile kuna mahali,kwa kauli na Matendo yake,amejilipua mwenyewe badala ya alichokitegemea!
Ebu na nyinyi nisadidieni
[emoji116][emoji116]View attachment 2505550