Issakson makanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 731
- 1,158
- Thread starter
-
- #21
[emoji3][emoji3][emoji3]Hahaha!pole sana,tafuta mfupa wa bundi mzee ,usage mpaka upatikane unga,halafu chukua mafuta ya mgando kisha changanya.Jipake mchanganyiko huo kila saa sita na robo usiku kwa siku 2,mademu wataanza kumiminika kama viwavi.
nimekutunuku weweKamtumie Lissu!
NmbieHahahaha maharageeeee
DuhWanaume wengi wa Jf hamna Swaga!
Maneno mengii Pesa hamna
Mtu anakutumia msg 20 kwa siku upoteze muda kujibu upuuzi wake kwa gharama zako?
Halafu anasahau mapenzi hayana elimu...Mmh kwa mwandiko huo! Sijui kuna typing errors kibao na sidhani kama ni kweli hiyo elimu yako
Wandugu Habari
J
Mambo Rubii.Wanaume wengi wa Jf hamna Swaga!
Maneno mengii Pesa hamna
Mtu anakutumia msg 20 kwa siku upoteze muda kujibu upuuzi wake kwa gharama zako?
Mkuu embu muulize kuhusu Ile ripoti ya dhahabu kama naye alitajwa?Wamekusikia watakuja