Mimi nina nini jamani, hakuna hata mdada alienijibu PM!!

Mimi nina nini jamani, hakuna hata mdada alienijibu PM!!

Hahaha!pole sana,tafuta mfupa wa bundi mzee ,usage mpaka upatikane unga,halafu chukua mafuta ya mgando kisha changanya.Jipake mchanganyiko huo kila saa sita na robo usiku kwa siku 2,mademu wataanza kumiminika kama viwavi.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Me nmepata tayari na ni marafiki wa agano jipya maana sio kwa kufurahi huku

Mkuu huwezi Pata rafiki humu kirahisi kwa style ya kutafuta we kua mwelewa kwamba Hawa wanataka mtu wa aina gani
Ukikimbilia Pm hawajibu kwasababu wewe sio wa kwanza wala wa mwisho kuwafata Pm so wanakua wanapuuza tu na kukuona wa hovyo
Me nilishaga jipatia mmoja tu na tunaheshimiana Sana

[HASHTAG]#kwani[/HASHTAG] Mkuu lazima upate the mu humu
Kwa elimu yako na huo utanashati wako lazima utakua na friends na mademu kibao huko kwenu
 
Hahahaha,, kumbe kutojibiwa inbox na madem a.k.a makinika ni tatizo ? Mbona naona kawaida tu
 
Tatizo ni hilo jina lako.. unaonesha unakula sana maharage ndio maana hata post zako za maharage maharage.
Jamii forum sio pa kutafuta mademu ndio maana hatuweki picha za kweli tunaweka avater..
Nakushauri uende Facebook utapata mademu wa kutosha.
 
Wanaume wengi wa Jf hamna Swaga!
Maneno mengii Pesa hamna
Mtu anakutumia msg 20 kwa siku upoteze muda kujibu upuuzi wake kwa gharama zako?
Mambo Rubii.

Lile Ombi langu la kujenga Smelter naomba Leo jioni uliweke kwenye kikao cha makinikia.

Wako mtiifu
Michaelray22
 
Back
Top Bottom