Jamani ivi maumivu ninayopata nyie na nyie yanawafikia ivo? Mimi nina vidonda vya tumbo lakini kifua kinakuwa kinawaka sana moto na mgongo vipi kuhusu shingo inaingilianaje na vidonda vya tumbo mana nakuwa kama mtu kanishika na mkono anataka kunikaba na kama kuisi kooni kuna kitu.hii imekaaj nakunywa dawa hata haisaidii
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app