Mimi nina vidonda vya tumbo lakini kifua kinakuwa kinawaka sana moto

Mimi nina vidonda vya tumbo lakini kifua kinakuwa kinawaka sana moto

Kwenye vidonda vya tumbo [PEPTIC ULCER DISEASE) tatizo kubwa ni acid kuwa nyingi (HCL) hio inasababisha corrosion kwenye stomach wall na kufanya uhisi maumivu ambayo ni epigastric pain (juu ya kitovu kwenda juu na hii hufanya kuona kuna mgandamizo kifuani na burning sensation) pia maumivu huweza kuradiate kwenda kwenya mgongo hususani shoulder blade

Kuhusu Acid reflux ni kurud kwa acid juu kwenye mferej wa kumezea hii huja kama kiungulia
Matibabu mazuri huusidha antibiotics proton pump inhibitor na ant acids

Mimi hua nashaur wateja wangu kutumia zaidi ant acids sababu ndo chimbuko kuu la ugonjwa na ndio rahisi kutumia kuliko hata PPIs (hii ni kwa ambao hawana mdudu msababishi H.pylori)
Kama una shida ya vidonda vya tumbo
1. Avoid spicy foods
2.Avoid acids
3. Tumia Calcium bicarbonate (Ant acid)
Hapo mekupata broo vp unaweza npa namba yakoo kk
 
Back
Top Bottom