Sio kiungulia kiungulia mbona mi nakijua kinavyokuwa kiungulia,kinajaza,mate machungu alaf kuna hali flan iv unaisikiaKiungulia hicho,pole sana. Kunywa maziwa, majivu pia huwa yanasaidia na magnesium.
Nenda hosp mkuuSio kiungulia kiungulia mbona mi nakijua kinavyokuwa kiungulia,kinajaza,mate machungu alaf kuna hali flan iv unaisikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usidanganyike mi nina vidonda vya tumbo vile vile.Hiyo hali yako imeanza kunitokea hivi karibuni kama wewe niliambiwa ni dalili ya corona.Cha kufanya punguza kula malimao na tangawizi sema kama utakula jitahidi maziwa mtindi yanakuwa karibu.Kuhusu suala la vidonda kooni chemsha maji ya chumvi uwe unasukutua sema weka mafuta ya karafuu,jitahidi yawe yanafika kooni kutwa mara 3 tu.Tabu yote itaisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
nichek apo +255763031478 dawa ipo, siku nne tu unapona Mkuu !Jamani ivi maumivu ninayopata nyie na nyie yanawafikia ivo? Mimi nina vidonda vya tumbo lakini kifua kinakuwa kinawaka sana moto na mgongo vipi kuhusu shingo inaingilianaje na vidonda vya tumbo mana nakuwa kama mtu kanishika na mkono anataka kunikaba na kama kuisi kooni kuna kitu.hii imekaaj nakunywa dawa hata haisaidii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pia nina shida na dawa ya vidonda vya tumbonichek apo +255763031478 dawa ipo, siku nne tu unapona Mkuu !
nichek namba izo tuyajenge ndugu !Mkuu pia nina shida na dawa ya vidonda vya tumbo
moto na mgongo vipi kuhusu shingo inaingilianaje
Bro sorry me pia asahivi nina hali kama hiyo vipi ushapona wwJamani ivi maumivu ninayopata nyie na nyie yanawafikia ivo? Mimi nina vidonda vya tumbo lakini kifua kinakuwa kinawaka sana moto na mgongo vipi kuhusu shingo inaingilianaje na vidonda vya tumbo mana nakuwa kama mtu kanishika na mkono anataka kunikaba na kama kuisi kooni kuna kitu.hii imekaaj nakunywa dawa hata haisaidii
Sent using Jamii Forums mobile app
AlifarikiBro sorry me pia asahivi nina hali kama hiyo vipi ushapona ww
DuhAlifariki
Aaaaaah jmn asa shida ilikuwaga ni nin aiseeeh kinachomsumbuaAlifariki
Ni kwel bro asa huo ugonjwa ganiHilo tatizo nazani ni jipya na limeanza mwaka jana maana kuna watu pia mie nawafahamu kabisa wame experience hyo hali na dawa wanatumia lakin bado hawana uafadhali wowote.
Ila hiyo huwa kuna mda inatulia unakuwa sawa kabisa, na pia ikijirudi huwa inakuja ghafla tu na unaweza zidiwa pasipo kutegemea.
Tena huwa mbaya sana pale unapokuwa na hofu, ndo mara nyingi hali zao huwa tete, na hisi hii itakuwa laba inasababishwa na homoni za mwili siko mtaalamu sana ki biology
Kuna reaction fulani ikitokea mwili watu huwa wanafeel hiyo hali