Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Hawa panya road wapo waliokosa kabisa elimu na wapo wenye elimu ingawa ni wachache sana.
Hawa panya road wengi wao wanafanya kazi zisizo rasmi na wengine hawana kazi kabisa.
Ni vijana waliolelewa mazingira kama ya watoto wa bata.
Lake Oils pekee wamechomewa vituo vya mafuta 38, zipo kampuni zingine za mafuta zimechomewa vituo vya mafuta lakini ni random. Muathirika mkubwa ni lake Oils.
Propaganda za bwana Polepole zimemtia hasara kubwa mfanyabiashara bw. Ally. Kwa makadirio takribani vituo vya mafuta 50 vimechomwa.
Magari binafsi zaidi ya 100, magari ya kampuni na serikali mengi.
Watu wameuwawa na hawa panya road na wengine kukatwa vidole na viganja.
Majengo ya serikali lukuki huku majengo ya polisi yakiwa mengi zaidi.
Kama jeshi la polisi lingezembea hakika mpaka nyumba zetu wangegawanya na kuhamia kabisa.
Hawa vijana hawana faida katika jamii zaidi ya kuwa mzigo kwa ndugu na wazazi wao. Ndio vijana wanaoshikwa na polisi kwa uhalifu kila siku.
Design ya vijana kama hawa hawatakiwi kuishi kwenye jamii yoyote.