Mimi ningekuwa Freeman Mbowe ningeachia ngazi kwa amani kabisa

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
357
Reaction score
686
Kufuatia Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama, mimi ningekuwa Mbowe wala nisingechukua hata Fomu ya kugombea, bali ningemuunga mkono kwa kutangaza hadharani tena kwa amani kabisa.
 
Kwa sasa serikali i-block fedha kutoka ubelgiji mpaka baada ya uchaguzi, Lissu atazitumia kuchochea vurugu na machafuko.
 
CCM wamegeuka wanataka Mbowe aendelee kubaki kua mwenyekiti

Mnamuogopa Lissu? Baada ya Mbowe Mlitamani mwenyekiti awe kigaila au mrema?

Tulieni Mnyooshwe
 
Kwa sasa serikali i-block fedha kutoka ubelgiji mpaka baada ya uchaguzi, Lissu atazitumia kuchochea vurugu na machafuko.
Lissu hawezi kuleta machafuko. Anayeweza kuleta machafuko ni CCM ambao hawataki kuruhusu uchaguzi huru na wa haki.
 
Nkurunzinza Mbowe anataka kufia madarakani, Lissu awe makini anaweza kulegezewa matairi ya gari akapata ajali
Dah! Mbona wanasema kwamba Lissu alituma watu wakalegeze nati za basi la wabunge hadi wakapata ajali
 
Niliwahi kusema Bora Mbowe , ila chadema ina watu wakikaa pale juu achana hata lissu moto wa kuotea mbali
 
Kufuatia Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama, mimi ningekuwa Mbowe wala nisingechukua hata Fomu ya kugombea, bali ningemuunga mkono kwa kutangaza hadharani tena kwa amani kabisa.
Mbowe alikwishasema awali mwaka huu kuwa hagombei. Lakini hata kama amebadilisha huo uamuzi waje wa mwanzo, siyo tatizo. Uchaguzi utafanyika, wanachama wataamua, na ikitokea Lisu ndiyo ameshindwa, kwa maturity ya Mbowe kwenye demokrasia, atawashangaza namna atakampongeza mshindi na kumpa ushirikiano wote.

Akiamua kutogombea na kushindana na alitekuwa msaidizi wake, bado anaweza kupatikana mgombea mwingine wa kushindana na Lisu. CHADEMA siyo CCM, wanaochapisha fomu 1 tu kwaajili ya mgombea mmoja.
 
Kufuatia Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama, mimi ningekuwa Mbowe wala nisingechukua hata Fomu ya kugombea, bali ningemuunga mkono kwa kutangaza hadharani tena kwa amani kabisa.
Hujaonja utamu wa Madaraka!
 
Kufuatia Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama, mimi ningekuwa Mbowe wala nisingechukua hata Fomu ya kugombea, bali ningemuunga mkono kwa kutangaza hadharani tena kwa amani kabisa.
Mbowe ni fisadi mkubwa sana nchini...ni ngumu kuachia chupa ya asali ...sifa moja ya mafisadi ni kutokuachia chupa ya asali hatakama wamesha kula hadi kuvimbiwa ...mfano mzuri ni samia .
 
Kufuatia Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama, mimi ningekuwa Mbowe wala nisingechukua hata Fomu ya kugombea, bali ningemuunga mkono kwa kutangaza hadharani tena kwa amani kabisa.
Baada ya kuchanguza kama kweli ana nia njema na Chama si agenda ya Siri maana amezidi uanaharakati.
 
Kwa sasa serikali i-block fedha kutoka ubelgiji mpaka baada ya uchaguzi, Lissu atazitumia kuchochea vurugu na machafuko.
Ni vema muda huu ukautumia kupata matibabu Milembe, maana naona una maruweruwe. Unaona na kusikia mambo yasiyokuwepo.
 
Kufuatia Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama, mimi ningekuwa Mbowe wala nisingechukua hata Fomu ya kugombea, bali ningemuunga mkono kwa kutangaza hadharani tena kwa amani kabisa.
Utasubiri sana
Wote mnadhani mnaweza kumchuuza Mbowe mnajidanganya.
 
Dah! Mbona wanasema kwamba Lissu alituma watu wakalegeze nati za basi la wabunge hadi wakapata ajali
Mwenyewe nilimuona Lisu chini ya bus akiwa na spana, wakati wabunge wameshuka kuchimba dawa porini!
 
Lini CHADEMA imeleta machafuko? Waleta machafuko ni CCM na ulafi wao wa madaraka.
 
Back
Top Bottom