Mimi ningekuwa na Dada nisingekubali aolewe na masikini

Juice world

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
1,982
Reaction score
2,706
Yaani katika kitu huwa nashangaa yaani watu ambao wamebahatika kuwa na dada kuruhusu fukara amuoe dada yake yaani Mimi ningekua na dada fukara hawezi kumuoa yaani masikini akishaingia kwenye familia yetu ya Matajiri analeta mikosi aisee tafuteni hela nyie masikini sio mnakaakaa kizembe kizembe tu mnataka Mimi tajiri ndio niwatunzie hao wake zenu waliochoka sababu ya nyie kuwa masikini
 
Kichwa cha habari kisomeke ungekuwa dada poa ingeendana na bandiko lako.
 
Hata wewe unaweza olewa na tajiri pia, hujachelewa.
 
Uombee pia dada yako awe na tako
 
Nguruwe pori wewe , Dada yako ni fukara hata hela ya pedi hana
 
Ili mwanao awe aolewe Na mwenye uwezo , inabidi uwekeze yaani umuandae awe Na elimu au kazi nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…