Mimi nitabaki kuwa team Bakhresa

Mimi nitabaki kuwa team Bakhresa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Huyu tajiri niliwaambia anajua Sana ubunifu.amekuja na Azam ukwaju kaajiri watu wengi Safi sana anaangalia fursa anaifanya kwa Hali.ana bidhaa nyingi huwezi kumfananisha na matajiri wengine .Azam itabaki kuwa juu hewani kwenye mawingu.the number one Africa choice.
 
Kuna level fulani ya maisha ukifikia fursa unaziona ona tuu wakati wengine wanalia na mitaji yao kuzitafuta fursa .

Kama hauna busara unaweza ukahisi wenzako hawana akili kama vijana wa chadema na CCM .
 
Back
Top Bottom