Mimi ODM... Nitoke na nani leo??

Eti, ni kichwa kipi ukiaminicho zaidi malaika wangu? Shhhhiiii usiseme kwa sauti wakora wengi hapa watakunyang'anyia ODM wako wamgande kama ruba.:spy:
shshshshshsh hiyo siri yangu! akiona yupo mwenyewe nampa pole tuko kibao, tunaokwangua ukoko wake!
 
kama una hasira mie kupendwa na hubby wangu! KADEKI BAHARI MAMA, upunguze stress! ANZIA OCEAN ROAD, ILI UKIZIDIWA UWAHI HOSSY! LOL! AmKATRINA morning!

Shost mbona wanipa mashushu tena mpaka natamani ardhi ifunuke niingie?
Morning njema tu,niko hapa ghorofani nakula kiyoyozi huku nawalia chabo wapita njia kwa chini chini mama,ila shost kua nae beneti mumeo kuleee kwenye B'day ya Erickb52,
c unajua tena mashori na maduu tutakuwa wa kumwaga leo?
Unaweza ukamuacha kulekule Asprin wako,ohoo!
 
Last edited by a moderator:
nampa adimu! anapata tanzanite, sio rahisi kuibiwa jumla! atawakagua lakini makazi ni kwangu, hainipi shaka! mzima weye? mi ndio najiandaa kuja kwenye party, nataka nitoke kivingine kabisa, mtatuona na hubby tukifika!
 
Kama nakuona ulivyo tokelezea.
Nawasubiri.
 
heheheheiya! hubby we ni kiboko! wakipuliza chini, we unapuliza juu! chezeiya ODM weye! STUKA hubby STUKA! mgeni simuelewi kabisaaaaaaaaaa!

kama una hasira mie kupendwa na hubby wangu! KADEKI BAHARI MAMA, upunguze stress! ANZIA OCEAN ROAD, ILI UKIZIDIWA UWAHI HOSSY! LOL! AmKATRINA morning!

morning hubby! mwahhh!

Khaaaa! Kama kawaida yako, you are always there when I need you the most!

Morning my love. Hebu nambie leo nikuletee nini?
 
Hivi AmKATRINA hujui kuwa limbwata aniwekealo cacico huwa nalinunuaga mwenyewe? cacico popote ulipo mamii, hebu nambie kama linakaribia kuisha nikuletee jingine. Mi hata nikikufumania sikuachi wallah!!
 
Last edited by a moderator:
Niko huku Mr Rocky,
mme wao cacico amekataa kunikagua.
Uko pande zipi maana kibaridi kinapuliza ile mbaya njoo fasta.

Asavuali nimikuona
Maana kiroho kilikuwa kinanidunda mbaya
Welikam my sweet heart sweet potato AmKATRINA
Yaani na hii baridi wewe ndo mwenyewe kabisa
Ahhh cacico ajinyonge tuu kwa big gee aise maana ana wivu kama nini
 
Last edited by a moderator:
Asavuali nimikuona
Maana kiroho kilikuwa kinanidunda mbaya
Welikam my sweet heart sweet potato AmKATRINA
Yaani na hii baridi wewe ndo mwenyewe kabisa
Ahhh cacico ajinyonge tuu kwa big gee aise maana ana wivu kama nini

Umemwona AmKATRINA anavojirusha na Zitto lakini? STUKA Mr Rocky!! Think!!!

Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…