Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
- Thread starter
- #281
Wife material mbona unazeeka vibaya? Nisipokutoa out ukasononeka mi ntaishije? Hujui msononeko wako ni adhabu kwangu? Kwa lugha nyepesi, unauliza shehe mstikitini?tema mate chini hubby! ukiniacha, mi nahamia mars! dunia tena itakuwa haifai kwangu, leo unanitoa out?