Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unakunywa kinywaji gani ummu kulthum? mbona sa bado upo ndani ya neti? nilijua ushabadili mandhari khaaaaa!
leoleo kitu inabadilika mamaa usijali wadhamini bado wanachuja Avatar usijaliunakunywa kinywaji gani ummu kulthum? mbona sa bado upo ndani ya neti? nilijua ushabadili mandhari khaaaaa!
haaaaaaaaa! besteee am happy fo ya guys, sasa yule mwanga alitaka kuvuruga siku nzuri kama hii kweli?? mbona haiswiii jamani?? msalimie sana! muimbie, then tekeleza plan B! mwahhhhhh!Besteee! Leo bethdei ya shostee afu mpaka sasa hajakumbuka. Ntamsapraizeje sasa? Ataniambiajee??
i cant wait! nina hamu na uji wa kungu ummu kulthum, wallah! naumiss pia uji wa shanga wa arusha kule mitaa ya sokoni, huwa nakwenda na thermos kabisa! lolleoleo kitu inabadilika mamaa usijali wadhamini bado wanachuja Avatar usijali
Besteee! Leo bethdei ya shostee afu mpaka sasa hajakumbuka. Ntamsapraizeje sasa? Ataniambiajee??
hubby mwambie avue kabisa! maana ukisema utamvua, usije ukakutana na mnara mume wangu ukapata shinikizo la damu ghafla, mwambie ajichojoe na asilete hadithi ka za TISS!
huwa naenjoyje thatha?? cant wait! hebu mshughulikie huyu mjukuu asijekupa sifa za wapekuzi wa humu ndani!Ewaaa ye ajivulie tu, kuvuliwa anavuliwa wife bana. Nakuvuagaje thatha??
haaaaaaaaa! besteee am happy fo ya guys, sasa yule mwanga alitaka kuvuruga siku nzuri kama hii kweli?? mbona haiswiii jamani?? msalimie sana! muimbie, then tekeleza plan B! mwahhhhhh!
luv u too! n u knw that my hubby material! lol, :A S-heart-2: :busuPlan B hoyeeeee! Mmwaah! Me luvs u wife material. Khaa!
nilitaka kukupm kukwambia same issue! kuwa mbona kama muandiko wake naufahamu, lol! job true true hubby! hubby na we uwe unakuja kivingine wallah itasaidia! khaaaaaaaa!Hebu mpeleleze... Mbona kama mwandiko wake naujua? STUKA wifey stuka!
i cant wait! nina hamu na uji wa kungu ummu kulthum, wallah! naumiss pia uji wa shanga wa arusha kule mitaa ya sokoni, huwa nakwenda na thermos kabisa! lol
nilitaka kukupm kukwambia same issue! kuwa mbona kama muandiko wake naufahamu, lol! job true true hubby! hubby na we uwe unakuja kivingine wallah itasaidia! khaaaaaaaa!
na ndugu yangu flani hivi? mna miandiko ya kufanana kabisaaaaaaaa! na hubby anaujua muandiko wa huyo ndugu yangu, TUMESTUKA khaaaaaa!jamani mwanifananisha na nani ati?
wanitamanisha ujue ummu kulthum, wallah naupenda. halafu unalevya vibaya, ukiwa kwenye mood ule uji, lol! upate kungu la comoro lakini, sitasahau mautamu yake!jamani kumbe waupenda uji bwana upikwe na mpikwaji unakuwa mtamu kama..........................mhhh mwenzio unapoa nasubiria dakika tu nianze kuunywa atiiii!!