Mimi Ponjoro wa Kinondoni simtambui rais wala Serikali

Mimi Ponjoro wa Kinondoni simtambui rais wala Serikali

Kwakifupi nimekaa hapa nasubiri uchaguzi mkuu.

Ujumbe: Ile digidigi itoke huko ilipojificha tule nyama.
Ni kweli mkuu na uchaguzi utakuwepo ama 2030 au litokee jambo la kikatiba linaloelekeza uchaguzi mkuu ufanyike. Mungu ni mkubwa.
 
Wewe mbona umeshindwa kumtambua hata mume wako aliekutelekeza?
Raisi hatoki familia yenu.!
 
Back
Top Bottom