Sauti haki
New Member
- Oct 28, 2020
- 3
- 0
Kwanini Mimi rafiki yake Sisi?
1. Kuielimisha na kujenga jamii nzima(sisi) Ni lazima ianze na mtu mmoja mmoja(Mimi)
2. Hatuwezi kuwa na jamii ya werevu ikiwa Kila mtu ni mjinga. Tunahitajika kuwasha taa ya maarifa na elimu kwa Kila mtu.
3. Tunamulikaje wengine ikiwa tupo gizani, Ni sharti Kila mmoja awe nuruni kwa kujimulika na kumulika wengine.
4. Mimi akijifunza maadili,utu,nidhamu,upendo na umoja basi Sisi wote watakuwa na maadili,utu,nidhamu,upendo na umoja.
5. Mimi akiwa na nguo mbili na akamuona mtu asiye na nguo, akampa moja basi Sisi jamii nzima hakutakuwa na asiye na nguo.
6. Mimi akiacha ubinafsi, ufisadi na wizi wa kutumia Mali za umma kujinufaisha mwenyewe basi Sisi wataishi maisha mazuri na yenye hadhiya ubinadamu.
7. Mimi akiacha kupenda kuabudiwa kisa cheo au Mali alizonazo,,basi hakutakuwa na kujipendekeza au upendeleo katika jamii..Kila mtu atapata anachostahili.
Mabadiliko yaanze kwa Mimi, Sisi rafiki wa mimi atabadilika pia

Upvote
0