Sir Teacher
Senior Member
- Nov 16, 2015
- 111
- 99
Tangu naanza kusikia habari za samsoni na delila sijawahi fanikiwa kumwona mdada anaeitwa ivo, kwaiyo namtafuta huyo mdada kama vp tuanzishe mahusiano, Naitwa Samson
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
, Yuko wapi kwa sasa?Delila siku hizi ni mchumba wa dk mihogo,punde tu alkuwa marekani.
nataka delila pure, kama vpi nasubiria dent wako amalize shuleKuna dent wangu anaitwa dalila mzuri sana subiri amalize Shule ndio yupo form two au ka vipi batiza goma ulilonalo liitwe delila
Tangu naanza kusikia habari za samsoni na delila sijawahi fanikiwa kumwona mdada anaeitwa ivo, kwaiyo namtafuta huyo mdada kama vp tuanzishe mahusiano, Naitwa Samson
Kaka njoo hapa ITV na Radio One kuna Delila mmoja hivi amaaaaaaaiiiiiziiiiing.....
Daaahh hilo jina lilisha laaniwa huta kuja kukutana na mtu anaitwa Delila
nataka delila pure, kama vpi nasubiria dent wako amalize shule
ivi akina delila ni wazuri sana mi sijawahi kubahatika kumwona mdada anaitwa delila