Mimi Samson, namtafuta mdada yeyote anaeitwa Delila

Mimi Samson, namtafuta mdada yeyote anaeitwa Delila

Sir Teacher

Senior Member
Joined
Nov 16, 2015
Posts
111
Reaction score
99
Tangu naanza kusikia habari za samsoni na delila sijawahi fanikiwa kumwona mdada anaeitwa ivo, kwaiyo namtafuta huyo mdada kama vp tuanzishe mahusiano, Naitwa Samson
 
Kuna dent wangu anaitwa dalila mzuri sana subiri amalize Shule ndio yupo form two au ka vipi batiza goma ulilonalo liitwe delila
 
Tangu naanza kusikia habari za samsoni na delila sijawahi fanikiwa kumwona mdada anaeitwa ivo, kwaiyo namtafuta huyo mdada kama vp tuanzishe mahusiano, Naitwa Samson

Kaka njoo hapa ITV na Radio One kuna Delila mmoja hivi amaaaaaaaiiiiiziiiiing.....
 
Daaahh hilo jina lilisha laaniwa huta kuja kukutana na mtu anaitwa Delila
 
Back
Top Bottom