mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 830
- 898
THE IMPOSSIBLE CAN BE POSSIBLE
yes is possible for Yanga.
Yes hii inawezekana kabisa msishangae kumuona Yanga akitinga katika hatua ya Nusu fainal Caf Champion League, Record zinambeba Yanga lolote laweza kutokea kwenye mechi ya Leo.
Kwanini nampa Yanga nafasi kubwa?
Yes is possible, inawezekana kabisa, kwa fact zifuatazo.
(I) Team work yao ni kubwa sana,
Morali yao ni kubwa sana, Nimefatilia mazoezi yao na hamasa zao ndani ya uwanja wa mazoezi hakika wanaonesha wanajambo wanalitaka.
Lakini wachezaji tegemezi wanarejea kwenye mchezo wa leo, Pacome Zouzou na wenzake
(ii) Records
Memelodi Sundowns Wana record nzuri kwenye viwanja vya ugenini Taangu 2007 ,Hawana record nzuri sana kwenye uwanja wa nyumbani hasa kwenye mechi za kufuzu rejea mechi ya Wydady Mamelodi alishinda Morocco Lakini Wydady alipoenda kwa Madiba wakatoa sare ya 2-2 Wydady akapita, is possible for Yanga na inawezekana.
(iv)Utofauti Yanga na Mamelodi ni kwamba Mamelodi ana record nzuri sana kwenye viwanja vya ugenini lakini Yanga ana record nzuri pia kwenye viwanja vya ugenini especially kwenye mechi za Maamuzi, Kuna aliyetegemea Yanga angemtoa Club Africain pale Tunisia, games ya Leo ni kufa na kupona kwa Yanga Mamelodi akikaa vibaya anaenda kutolewa palepale kwa Madiba.
The Impossible can be Possible..
Mamelodi Sundowns ni lidude likubwa sana lakini Team ya Yanga Ina Team work kubwa sana, thus why is possible for Yanga to beat Mamelodi Sundowns
Umenisoma?
N:B.wenye akili ya ziada wananielewa sana
Mimi shabiki mwezenu wa Simba sc Ila hapa nimeongelea mpira sio mapenz au mahaba.