Mimi Shabiki wa SIMBA SC TZ ila Ninachoongela hapo Mpira Sio Mapenzi

mchawi wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
830
Reaction score
898
THE IMPOSSIBLE CAN BE POSSIBLE

yes is possible for Yanga.

Yes hii inawezekana kabisa msishangae kumuona Yanga akitinga katika hatua ya Nusu fainal Caf Champion League, Record zinambeba Yanga lolote laweza kutokea kwenye mechi ya Leo.

Kwanini nampa Yanga nafasi kubwa?

Yes is possible, inawezekana kabisa, kwa fact zifuatazo.

(I) Team work yao ni kubwa sana,
Morali yao ni kubwa sana, Nimefatilia mazoezi yao na hamasa zao ndani ya uwanja wa mazoezi hakika wanaonesha wanajambo wanalitaka.
Lakini wachezaji tegemezi wanarejea kwenye mchezo wa leo, Pacome Zouzou na wenzake

(ii) Records
Memelodi Sundowns Wana record nzuri kwenye viwanja vya ugenini Taangu 2007 ,Hawana record nzuri sana kwenye uwanja wa nyumbani hasa kwenye mechi za kufuzu rejea mechi ya Wydady Mamelodi alishinda Morocco Lakini Wydady alipoenda kwa Madiba wakatoa sare ya 2-2 Wydady akapita, is possible for Yanga na inawezekana.

(iv)Utofauti Yanga na Mamelodi ni kwamba Mamelodi ana record nzuri sana kwenye viwanja vya ugenini lakini Yanga ana record nzuri pia kwenye viwanja vya ugenini especially kwenye mechi za Maamuzi, Kuna aliyetegemea Yanga angemtoa Club Africain pale Tunisia, games ya Leo ni kufa na kupona kwa Yanga Mamelodi akikaa vibaya anaenda kutolewa palepale kwa Madiba.

The Impossible can be Possible..
Mamelodi Sundowns ni lidude likubwa sana lakini Team ya Yanga Ina Team work kubwa sana, thus why is possible for Yanga to beat Mamelodi Sundowns

Umenisoma?

N:B.wenye akili ya ziada wananielewa sana

Mimi shabiki mwezenu wa Simba sc Ila hapa nimeongelea mpira sio mapenz au mahaba.
 
Kukosekana kwa Pacome na Yao ni pigo kubwa sana kwa Yanga ukizingatia mechi inahitaji magoli na ulinzi madhubuti. Ngoja tuone
 
Ni jambo la kusubiri na kuona chochote kinawezekana katika mpira, kutabiri ni jambo zuri lakini zaidi sana dakika 90 zitatuambia nani atatinga nusu fainali, Mungu ibariki Tanzania.
 
THE IMPOSSIBLE CAN BE POSSIBLE

yes is possible for Yanga.

Yes hii inawezekana kabisa msishangae kumuona Yanga akitinga katika hatua ya Nusu fainal Caf Champion League, Record zinambeba Yanga lolote laweza kutokea kwenye mechi ya Leo.

Kwanini nampa Yanga nafasi kubwa?

Yes is possible, inawezekana kabisa, kwa fact zifuatazo.

(I) Team work yao ni kubwa sana,
Morali yao ni kubwa sana, Nimefatilia mazoezi yao na hamasa zao ndani ya uwanja wa mazoezi hakika wanaonesha wanajambo wanalitaka.
Lakini wachezaji tegemezi wanarejea kwenye mchezo wa leo, Pacome Zouzou na wenzake

(ii) Records
Memelodi Sundowns Wana record nzuri kwenye viwanja vya ugenini Taangu 2007 ,Hawana record nzuri sana kwenye uwanja wa nyumbani hasa kwenye mechi za kufuzu rejea mechi ya Wydady Mamelodi alishinda Morocco Lakini Wydady alipoenda kwa Madiba wakatoa sare ya 2-2 Wydady akapita, is possible for Yanga na inawezekana.

(iv)Utofauti Yanga na Mamelodi ni kwamba Mamelodi ana record nzuri sana kwenye viwanja vya ugenini lakini Yanga ana record nzuri pia kwenye viwanja vya ugenini especially kwenye mechi za Maamuzi, Kuna aliyetegemea Yanga angemtoa Club Africain pale Tunisia, games ya Leo ni kufa na kupona kwa Yanga Mamelodi akikaa vibaya anaenda kutolewa palepale kwa Madiba.

The Impossible can be Possible..
Mamelodi Sundowns ni lidude likubwa sana lakini Team ya Yanga Ina Team work kubwa sana, thus why is possible for Yanga to beat Mamelodi Sundowns

Umenisoma?

N:B.wenye akili ya ziada wananielewa sana

Mimi shabiki mwezenu wa Simba sc Ila hapa nimeongelea mpira sio mapenz au mahaba.
Wewe in Utopolo 😀
 
Naunga mkono hoja
 
FB_IMG_1682646137959 (3).jpg
 
It was almost fitina tu za marefa wa mchango lakini next season tutakuwa watamu sana
 
Back
Top Bottom