Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mkuu wenzetu msimbazi wamejiandaa kikamilifu sisi hatuna chetu ndomana nakaa kimyaMpira hauchezwi nje ya uwanja
Mpira ni dk90Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Nimejikalia kimyaa, hongereni watani zangu
Wamejiandaa na kipi? Na uthibitisho wako ni upo juu ya hiyo hoja yako?Mkuu wenzetu msimbazi wamejiandaa kikamilifu sisi hatuna chetu ndomana nakaa kimya
Endelea kukaa kimyaMkuu wenzetu msimbazi wamejiandaa kikamilifu sisi hatuna chetu ndomana nakaa kimya
We kolo ulibwanje?Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Nimejikalia kimyaa, hongereni watani zangu
Mnataka sisi kama Yanga tuseme nini na hatuna Kibu wala Mpanzu. Tambeni wenyewe tuWadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Nimejikalia kimyaa, hongereni watani zangu
Kama huna matumaini anza dozi..Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Nimejikalia kimyaa, hongereni watani zangu
Labda uwe mamluki...ila ni marufuku kukata tamaa!Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Nimejikalia kimyaa, hongereni watani zangu