Mimi shabiki wa Yanga wacha nikae kimya tu, sina matumaini na nimekata tamaa kabisa mechi ya kesho, watani wamejipanga vizuri kutuzidi

Mimi shabiki wa Yanga wacha nikae kimya tu, sina matumaini na nimekata tamaa kabisa mechi ya kesho, watani wamejipanga vizuri kutuzidi

Shabiki wa simba kwenye jezi ya yanga, longolongo as usual, huna jipya...
 
Tunafanyaje sasa na hatuna Kibu sisi, Atebba mwenyewe ashashindikana, Mkwala na Mutale ndo miamba balaa
 
Back
Top Bottom