Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Boloyoung ni wa kike?[/QUOTE)
Kwi kwi kwi
Hahahaha!! Unapima kwa kutumia nini mkuu?Napima kwanza oil, ili nijue ni bwawa au kisima
Jaribu hata kwangu tu JovithaNgoja nikajaribu kumtongozA
CC: Gluk
ngushi, nakupenda sana, huwa nikiona tu comment yako mie hoi! tafadhali naomba uwe mwenzangu kimapenzi, kama ni hela nitakuhudumia kila kitu! sili, silali nakuona kwenye glass, unautesa moyo wangu, kama hujawahi kutongozwa na mwanamke basi mie naomba niwe wa kwanza: Naomba jibu muda huu:Ngoja nikafikirie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ngushi, nakupenda sana, huwa nikiona tu comment yako mie hoi! tafadhali naomba uwe mwenzangu kimapenzi, kama ni hela nitakuhudumia kila kitu! sili, silali nakuona kwenye glass, unautesa moyo wangu, kama hujawahi kutongozwa na mwanamke basi mie naomba niwe wa kwanza: Naomba jibu muda huu:
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
[Emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa maneno matamu kama haya naomba nitengue kauli ya hapo juu.ngushi, nakupenda sana, huwa nikiona tu comment yako mie hoi! tafadhali naomba uwe mwenzangu kimapenzi, kama ni hela nitakuhudumia kila kitu! sili, silali nakuona kwenye glass, unautesa moyo wangu, kama hujawahi kutongozwa na mwanamke basi mie naomba niwe wa kwanza: Naomba jibu muda huu:
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
hahaahahha, Joseverest umeuona mtongozo wa mwanamke huo! hahahahha sasa sijui ataniambia nimpe muda afikirie hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahahahahahahahahah, tehe tehe tehe kwikwikwikwikwi oshoshoshoshoshsho kwakwakwakwakwa uwiiiii mbavu zangu mieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee[Emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa maneno matamu kama haya naomba nitengue kauli ya hapo juu.
Haina haja ya tusubiri Chikira...
Nimecheka sanaMi Kabla Hajamaliza Nshamvuta Pembeni