Mimi sifurahishwi na kinachoendelea ila siwezi kuandamama wala kuipinga serikali ili niuliwe na kupotezwa never .

Wauzaji wa Container Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
2,224
Reaction score
4,092
Vijana Kama Mdude , ni vijana waliopotezwa bila huruma

Hao Chadema ambao unawapambania , ukifa wanakuwa hawana habari na wewe wala familia yako.

MTU kama Mdude , Soka n.k wametumika kwenye chama wamepotezwa huku Mbowe akila bata na hawazi lolote.

Inasikitisha sana .
 
kufa kupo tu, utakufa (inawezekana hata leo)
 
Kama maandamano hayakusaidia chochote msumbiji vijana wa hapa jiandaeni kuvunjwa miguu kila mchuma janga atakula na wakwao
 
Tuko leo kama tulivyo/au tumepiga hatua tuliyofikia kwa sababu watu wengine walijitolea kwa ajili yetu.
 
Hivyo bakia kuwa mtu wamajira na nyakati ndiyo size yako.
 
Wewe unajulikana kwa uoga.Hata kuchomwa sindano tu unaogopa.
 
Baada ya kuandika hivi unapewa dola10 halafu unashangilia
 
Ni ujinga kupambania wanasiasa wa Afrika kuingia ikulu kula bata wao na jamii yao.
 
Mliishaambiwa, za kuambiwa, ongeza za kwako. Angalau wewe umeongeza za kwako. Akina Mdude walitumia za kuambiwa tu! Ahahahahaha!!!
 
Hao Chadema ambao unawapambania , ukifa wanakuwa hawana habari na wewe wala familia yako.
Sio kwamba akina Soka na Mdude walikuwa wanaipambania CHADEMA, bali ni kwamba nao walikuwa ni sehemu ya CHADEMA. Kwa hiyo usilazimishe taswira ionekane kuwa akina Mdude na Soka ni kitu kingine na CHADEMA ni kitu kingine ambacho kipo mahali fulani mtu anaweza kukiona
 
Ni msimamo mzuri japo Kuna jambo hapa inabidi ulitolee ufafanuzi. Kwamba ukiipinga serikali ndio unauliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…