Lisa Rina
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 3,353
- 7,274
We ni mbwa tuVijana Kama Mdude , ni vijana waliopotezwa bila huruma
Hao Chadema ambao unawapambania , ukifa wanakuwa hawana habari na wewe wala familia yako.
MTU kama Mdude , Soka n.k wametumika kwenye chama wamepotezwa huku Mbowe akila bata na hawazi lolote.
Inasikitisha sana .