mimi sijaoa......

majogajo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
317
Reaction score
44
mimi sijaoa , sitaki kuoa ila nataka mnishauri faida ya kuoa ili nipate hamu ya kuoa......
 
mimi sijaoa , sitaki kuoa ila nataka mnishauri faida ya kuoa ili nipate hamu ya kuoa......

Umeshasema hutaki kuoa!
Nunua Rexona upige punyeto weeeeeeeeeeeeeeeee! utapata hamu ya kuoa.
 
Sasa ka hutaki kuoa hamu ya kuoa unaitakia nini?

Anavunga, this means hamu ya kuoa anayo!!! Kwani hii thread ina tofauti gani na za wale wanaoweka mabandiko ya kutafuta wachumba?? Lol!!
 
tafuta mwanadada uoe mwenzangu kuna raha yake sana san ..i wapo tu
utapata yule wa ukweli maisha yatakuwa safi sana na hautajuta kuwa na mwanamke maishani mwako
angalizo usichague sana lol
 
hamna issue mpya huko kama hujiskii tulia kula ,maisha
 
wewe una dini?au ni unamini kwenye mrengo gani?ili nikueleze imani yako inatakaje
 
mkuuu david cameron anatafuta watu km ww, km vp fanya nae mawasiliano ili aweanakuconfigure maana inaonekana unapenda kuolewa badala ya kuoa ikishindikana PUNYETO iz zea 4 u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…