mimi sijaoa......

mimi sijaoa......

mtalimbo umelala dolo,ishi tores mpuuz bila ramiles leo tungekoma..yaani newcesto wametupita aaagh!
 
naona Waingereza (akina David Cameroon) wamewapa kiburi, sasa mna nguvu za kujinadi wazi wazi...
 
mimi sijaoa , sitaki kuoa ila nataka mnishauri faida ya kuoa ili nipate hamu ya kuoa......

umeshasema hutaki kuoa unataka ushauri gani sasa kama vp tafuta mwanaume akuoe ni hayo tu
 
Pole sana umeyapenda mwenye hayo majibu mabovu yaliyojitokeza hapo juu, tujuze ushatendwa ndo ukaamua uamuzi huo au?
 
Back
Top Bottom