Hata ukanushe wewe mvuta bangi tu,bisha na humu jf watu wakuletee ushahidi.
Cc Matumbo
Maandishi yake yenyewe yamejaa bange tupu.
Linenga asipochoma nani atae choma sasa.
Wavuta bangi hamuwasemi hamuwaulizi swali hilo Mimi nisievuta ndo kila siku naulizwa hlo swali narudia tena Sijawahi kua mvuta Bangi sina ratiba ya kutumia dawa za aina yoyote ya kulevya Msinijudge kwa muonekano wangu hivi ndivyo nilivyo na siwezi kua MTU mwingine ‪#‎Sunday‬ Mangu".
Kuna baadhi ya watu ambao huamini kuwa mtu akishakuwa msanii wa muziki ni lazima atakua mtumiaji wavilevi kama bangi, na wapo wanaoamini kuwa binti akishaingia kwenye sanaa ya urembo pia ni lazima atajihusisha na umalaya, kitu ambacho si kweli kwasababu hiyo ni tabia ya mtu binafsi.
Linex Sunday Mjeda leo ameamua kujibu swali ambalo amekuwa akikutana nalo kila mara katika mahojianola kama anavuta bangi ama laa kwasababu ya muonekano wake na pia kuwa msanii.
Kupitia Facebook Linex ameandika:
Kwa mala ya kwanza Leo nimegoma kujibu swali ambalo nimekua nikiulizwa Sana na vyombo vya habari na swali lenyewe ni kuhusu mimi kujihusisha na matumizi ya uvutaji Bangi. Leo nawambia watanzania na wasio watanzania Mimi sijawahi kua mvuta Bangi maisha yangu yote na Kama nna vuta Mungu ananiona na ningekua mvuta bangi nisingekua na sababu ya kukataa.
Wavuta bangi hamuwasemi hamuwaulizi swali hilo Mimi nisievuta ndo kila siku naulizwa hlo swali narudia tena Sijawahi kua mvuta Bangi sina ratiba ya kutumia dawa za aina yoyote ya kulevya Msinijudge kwa muonekano wangu hivi ndivyo nilivyo na siwezi kua MTU mwingine ‪#‎Sunday‬ Mangu.
Mbona rais Uhuru Kenyatta mdomo wake mweusi naye anavuta bhange?
Mbona rais Uhuru Kenyatta mdomo wake mweusi naye anavuta bhange?