Mimi sijawahi kuwa mvuta bangi maisha yangu yote na kama ninavuta mungu ananiona

Mimi sijawahi kuwa mvuta bangi maisha yangu yote na kama ninavuta mungu ananiona

linex bangi Umeacha lini?? Wadanganye wengine sio Mimi
 

Wavuta bangi hamuwasemi hamuwaulizi swali hilo Mimi nisievuta ndo kila siku naulizwa hlo swali narudia tena Sijawahi kua mvuta Bangi sina ratiba ya kutumia dawa za aina yoyote ya kulevya Msinijudge kwa muonekano wangu hivi ndivyo nilivyo na siwezi kua MTU mwingine ‪#‎Sunday‬ Mangu".



Kumbe anawajua???
:bange::bange::bange:
 
20 P Nae Aunge Tela
Itakuwa Wanamzushia Bure Kama Mjeda!!
 
Kuna baadhi ya watu ambao huamini kuwa mtu akishakuwa msanii wa muziki ni lazima atakua mtumiaji wavilevi kama bangi, na wapo wanaoamini kuwa binti akishaingia kwenye sanaa ya urembo pia ni lazima atajihusisha na umalaya, kitu ambacho si kweli kwasababu hiyo ni tabia ya mtu binafsi.
Linex Sunday Mjeda leo ameamua kujibu swali ambalo amekuwa akikutana nalo kila mara katika mahojianola kama anavuta bangi ama laa kwasababu ya muonekano wake na pia kuwa msanii.

Kupitia Facebook Linex ameandika:

“Kwa mala ya kwanza Leo nimegoma kujibu swali ambalo nimekua nikiulizwa Sana na vyombo vya habari na swali lenyewe ni kuhusu mimi kujihusisha na matumizi ya uvutaji Bangi. Leo nawambia watanzania na wasio watanzania Mimi sijawahi kua mvuta Bangi maisha yangu yote na Kama nna vuta Mungu ananiona na ningekua mvuta bangi nisingekua na sababu ya kukataa.

Wavuta bangi hamuwasemi hamuwaulizi swali hilo Mimi nisievuta ndo kila siku naulizwa hlo swali narudia tena Sijawahi kua mvuta Bangi sina ratiba ya kutumia dawa za aina yoyote ya kulevya Msinijudge kwa muonekano wangu hivi ndivyo nilivyo na siwezi kua MTU mwingine ‪#‎Sunday‬ Mangu”.

linex-kuhusu-bangi.jpg



Mse.nge huyo kavuta sana bhangi makongo
Anatoka Sinza kwa mapacha kwa miguu mpaka makongo
Leo anajifanya haijui bangeeee
Manina
 
Mbona rais Uhuru Kenyatta mdomo wake mweusi naye anavuta bhange?

Yah. Uhuru Mwigai Kenyata anachoma herb vizuri sana.
Hata ivyo bangi haina tatizo.
Inapigwa vita ili sigara iuze maana ikiruhusiwa sigara ndio byebye.
Maana bangi inaota popote na haihitaji mbolea.
 
Hata marehemu Kanumba alikanusha katika kipindi cha mkasi kuwa hana girlfriend na kuwa hanywi pombe. Haikupita hata mwezi alikufa akikutwa na high brand whysk na girfriend minor Lulu. Tatizo mnataka mkamatwe kwanza na ngozi.
 
Back
Top Bottom