Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,833
- 979
utajuta wewe na familia yako.CHADEMA mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu atajuta huu mwaka
Mazali akipigwa risasi hafi huyo ndie anaetufaaChadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu atajuta huu mwaka
utajuta wewe na familia yako.
Nilitaka kusema mbona hujaweka namba ya simu , lakini kwa vile Magufuli anapigwa chini 28/10 , namba yako itakuwa bure tuWaungwana, naijulikane leo kuwa mimi binafsi nimekataa kuwa sehemu ya Watanzania watakaosema tusamehe Magufuli, hatukujua kuwa wewe ni mtu muhimu kwetu Watanzania.
Anyway, hivi mnakumbuka hali ilikuwaje kipindi cha Kikwete? Wengi wa wapiga ramli walifikia mpaka hatua ya kutabiri kuwa CCM itamfia Kikwete mikononi mwake. Nadhani pia hamjasahau lawama za ugumu wa maisha zilizokuwa zinamiminwa kwa hayati Rais Mkapa.
Leo hii wapinzani wanawasifu Mkapa na Kikwete kwa sifa ambazo hawakuwahi kuwapa kipindi wanatawala. Waliwalaumu sana na kelele zilikuwa nyingi mno. Wapo waliosema I am sorry Mkapa, I am sorry Kikwete. Leo hii viongozi hawa wanaonekana ni mashujaa.
Tuache mambo mengi aliyoyafanya Magufuli ambayo yanaongelewa sana, hebu tuseme haya machache ambayo hayasemwi sana lakini yenye umuhimu sana kwenye maisha ya kila siku ya Watanzania.
Serikali ya Magufuli imefanya jitihada kubwa kwenye kudhibiti mfumuko wa bei na kupunguza kodi ya mshahara (PAYE) kwa wafanyakazi. Mambo haya yanagusa maisha ya Watanzania moja kwa moja. Haya sio mambo madogo, ni makubwa mno.
Hebu kaa uchunguze bei za vitu mbalimbali tangu alipoingia Magufuli. Achana na hujuma za sukari, angalia nauli, bei za vifaa vya ujenzi n.k. Ikumbukwe kuwa kilio cha kutaka punguzo la Kodi mpaka kufika single digit kilikuwepo muda mrefu.
#2020 kura zote kwa John
Amani Msumari
Tanga
Sukari sh ngapi then and now?
[emoji1787][emoji1787]umeongea kitu kigumu sana.Tunataka kiongozi ambae hata akipigwa risasi hafi
ππππ π
Hamna kitu, ukutwe wewe mwenyewe una shida hadi kwenye makalio na ndugu zako
Mbona ajira huzungumzii. Jk alikuwa kila mwaka anaajiri walimu wote na madaktari wote waliomaliza mwaka huo labda we mwenyewe usitake ajira tu lakini zilijaa bwerere. Hili mbona unalikwepa ambapo ndo point yenyewe iliyosababisha ugumu wa maisha kwa wengi na kuona mabarabara ni takataka tu!Waungwana, naijulikane leo kuwa mimi binafsi nimekataa kuwa sehemu ya Watanzania watakaosema tusamehe Magufuli, hatukujua kuwa wewe ni mtu muhimu kwetu Watanzania.
Anyway, hivi mnakumbuka hali ilikuwaje kipindi cha Kikwete? Wengi wa wapiga ramli walifikia mpaka hatua ya kutabiri kuwa CCM itamfia Kikwete mikononi mwake. Nadhani pia hamjasahau lawama za ugumu wa maisha zilizokuwa zinamiminwa kwa hayati Rais Mkapa.
Leo hii wapinzani wanawasifu Mkapa na Kikwete kwa sifa ambazo hawakuwahi kuwapa kipindi wanatawala. Waliwalaumu sana na kelele zilikuwa nyingi mno. Wapo waliosema I am sorry Mkapa, I am sorry Kikwete. Leo hii viongozi hawa wanaonekana ni mashujaa.
Tuache mambo mengi aliyoyafanya Magufuli ambayo yanaongelewa sana, hebu tuseme haya machache ambayo hayasemwi sana lakini yenye umuhimu sana kwenye maisha ya kila siku ya Watanzania.
Serikali ya Magufuli imefanya jitihada kubwa kwenye kudhibiti mfumuko wa bei na kupunguza kodi ya mshahara (PAYE) kwa wafanyakazi. Mambo haya yanagusa maisha ya Watanzania moja kwa moja. Haya sio mambo madogo, ni makubwa mno.
Hebu kaa uchunguze bei za vitu mbalimbali tangu alipoingia Magufuli. Achana na hujuma za sukari, angalia nauli, bei za vifaa vya ujenzi n.k. Ikumbukwe kuwa kilio cha kutaka punguzo la Kodi mpaka kufika single digit kilikuwepo muda mrefu.
#2020 kura zote kwa John
Amani Msumari
Tanga
Kwa akili yako uliyoishirikisha halmashauri ya kichwa chako unaona inawezekana kila mwaka kuajiri wahitimu wote?Mbona ajira huzungumzii. Jk alikuwa kila mwaka anaajiri walimu wote na madaktari wote waliomaliza mwaka huo labda we mwenyewe usitake ajira tu lakini zilijaa bwerere. Hili mbona unalikwepa ambapo ndo point yenyewe iliyosababisha ugumu wa maisha kwa wengi na kuona mabarabara ni takataka tu!
Ndo Mana vijana hawamtaki sasa jpm kwa sababu wanahisi jawajali kwa comparison hiyo kipindi Cha jk na jpm. Hakuna mbasala wa ajira yaani hakuna mbasala wa kufaKwa akili yako uliyoishirikisha halmashauri ya kichwa chako unaona inawezekana kila mwaka kuajiri wahitimu wote?
Ajira za walimu kwa wingi ulikuwa ni mpango maalumu wa kuboresha elimu ya msingi na sekondari