Dalili za kishoga hizo kumnyenyekea na kumsujudu Mwanaume mwenzio,angalia ana msumari yule,atakuchana marinda
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Utacheka kichina safari hii. Ngoja tuweke ushahidi wote vizuri maana mwenendo mzima wa hujuma uko wazi. Hizo karatasi mnazoprint fahamuni mmeingia hasara.
Baba yangu Hana nchi!Nchi ya babaako ndo inayoenda mlama!
Huu Uchaguzi ni wa kufundisha adabu
Hamna uwezo wa kushinda Uchaguzi kwa miaka miamoja ijayo
Hivyo vimkwara muwe mnawatishia wachunga punda singida mashariki
Huko kote ulipotaja ajira zipoJk aliweka utaratibu mzuri vijana wakaona Kuna fursa kila pahala. Ukitaka kwenda jeshi nafasi zipo, ukitaka Wenda polisi nafasi zipo, ukitaka kwenda uhamiaji nafasi zipo mpaka 2014. Baada ya jpm kuingia tu madarakani akapiga pini kila kitu hamna pa kukimbilia Tena yeye ni madaraja naabarabara tu.
We unaishi wapi kwani! Vijana wapo kibao mtaani wanatafuta ajira. Hukuona uwanja wa taifa juzi umejaa nje na ndani kwa ajira tu za eflu tisini. Hali no mbaya na jpm must go kwa maslahi mapana ya vijanaHuko kote ulipotaja ajira zipo
Msidanganywe kuwa kila mtu atapata ajira, nasisitiza hata Marekani Kuna changamoto ya ukosefu wa ajira hasa miongoni mwa vijanaWe unaishi wapi kwani! Vijana wapo kibao mtaani wanatafuta ajira. Hukuona uwanja wa taifa juzi umejaa nje na ndani kwa ajira tu za eflu tisini. Hali no mbaya na jpm must go kwa maslahi mapana ya vijana
Nakumbuka Kenya hapo KANU walikuwa na kauli za kujigamba kama nyie, leo hii KANU ni historia. Hapo hapo Kenya kulikuwa na wachezea box la kura kama wafanyavyo ccm, ila 2007 heshima ilirejea rasmi kwenye box la kura. Yajayo yatasikitisha.
Popn Kule no Mara 10 ya Tanzania kuwa na akili japo kidogoMsidanganywe kuwa kila mtu atapata ajira, nasisitiza hata Marekani Kuna changamoto ya ukosefu wa ajira hasa miongoni mwa vijana
Duh! Yaani Hadi umri huo ulio nao hujaacha kujikomba na kujinafikisha ili ule! Nakumegea Siri Ila usimwambie mtu kuwa; " ameapa kuwa akibahatika kurejea ofisini wale wote mnaojdai kujinafikisha ili awateue jitafutieni njia nyingine kwani hahitaji msaada wenu wa kinafiki kwani kwenye mikutano take ya kampeni mmemfedhehesha mno kwa kuwasombelea watu na malori badala ya wao kuja kwa hiyari yao"! Ati mnamdanganya anapendwa ilihali hapendwi! Lakini kiuhalisia wewe binafsi umechangia kuaibika kwake kwa kutomwambia ukweliWaungwana, na ijulikane leo kuwa mimi binafsi nimekataa kuwa sehemu ya Watanzania watakaosema tusamehe Magufuli, hatukujua kuwa wewe ni mtu muhimu kwetu Watanzania.
Anyway, hivi mnakumbuka hali ilikuwaje kipindi cha Kikwete? Wengi wa wapiga ramli walifikia mpaka hatua ya kutabiri kuwa CCM itamfia Kikwete mikononi mwake. Nadhani pia hamjasahau lawama za ugumu wa maisha zilizokuwa zinamiminwa kwa hayati Rais Mkapa.
Leo hii wapinzani wanawasifu Mkapa na Kikwete kwa sifa ambazo hawakuwahi kuwapa kipindi wanatawala. Waliwalaumu sana na kelele zilikuwa nyingi mno. Wapo waliosema I am sorry Mkapa, I am sorry Kikwete. Leo hii viongozi hawa wanaonekana ni mashujaa.
Tuache mambo mengi aliyoyafanya Magufuli ambayo yanaongelewa sana, hebu tuseme haya machache ambayo hayasemwi sana lakini yenye umuhimu sana kwenye maisha ya kila siku ya Watanzania.
Serikali ya Magufuli imefanya jitihada kubwa kwenye kudhibiti mfumuko wa bei na kupunguza kodi ya mshahara (PAYE) kwa wafanyakazi. Mambo haya yanagusa maisha ya Watanzania moja kwa moja. Haya sio mambo madogo, ni makubwa mno.
Hebu kaa uchunguze bei za vitu mbalimbali tangu alipoingia Magufuli. Achana na hujuma za sukari, angalia nauli, bei za vifaa vya ujenzi n.k. Ikumbukwe kuwa kilio cha kutaka punguzo la Kodi mpaka kufika single digit kilikuwepo muda mrefu.
#2020 kura zote kwa John
Amani Msumari
Tanga
Sawa. Nitamshauri aige kwa majirani zetu CHADEMA kwani huko wanakula makombati, operesheni ukuta na sangaraDuh! Yaani Hadi umri huo ulio nao hujaacha kujikomba na kujinafikisha ili ule! Nakumegea Siri Ila usimwambie mtu kuwa; " ameapa kuwa akibahatika kurejea ofisini wale wote mnaojdai kujinafikisha ili awateue jitafutieni njia nyingine kwani hahitaji msaada wenu wa kinafiki kwani kwenye mikutano take ya kampeni mmemfedhehesha mno kwa kuwasombelea watu na malori badala ya wao kuja kwa hiyari yao"! Ati mnamdanganya anapendwa ilihali hapendwi! Lakini kiuhalisia wewe binafsi umechangia kuaibika kwake kwa kutomwambia ukweli
Unaonaje ukianza na kuendelea kumuomba radhi kwa kutokumwambia watu hawali madaraja Wala mataruma?
Bado haitatosha! Mshauri aoe mwanamke mweupe itaweza kutuliza kiu yake!Sawa. Nitamshauri aige kwa majirani zetu CHADEMA kwani huko wanakula makombati, operesheni ukuta na sangara
😂😂😂Hamna kitu, ukute wewe mwenyewe una shida hadi kwenye makalio na ndugu zako
Wagombea wa ccm huwa wanatuambia Tuache Kutegemea Kuajiriwa Na Serikali, Tujitegemee Na Tujiajiri Wenyewe!! Wakati Wao Wanatuomba Kura Ili Tuwape Ajira Waajiriwe Na wananchi.Waungwana, na ijulikane leo kuwa mimi binafsi nimekataa kuwa sehemu ya Watanzania watakaosema tusamehe Magufuli, hatukujua kuwa wewe ni mtu muhimu kwetu Watanzania.
Anyway, hivi mnakumbuka hali ilikuwaje kipindi cha Kikwete? Wengi wa wapiga ramli walifikia mpaka hatua ya kutabiri kuwa CCM itamfia Kikwete mikononi mwake. Nadhani pia hamjasahau lawama za ugumu wa maisha zilizokuwa zinamiminwa kwa hayati Rais Mkapa.
Leo hii wapinzani wanawasifu Mkapa na Kikwete kwa sifa ambazo hawakuwahi kuwapa kipindi wanatawala. Waliwalaumu sana na kelele zilikuwa nyingi mno. Wapo waliosema I am sorry Mkapa, I am sorry Kikwete. Leo hii viongozi hawa wanaonekana ni mashujaa.
Tuache mambo mengi aliyoyafanya Magufuli ambayo yanaongelewa sana, hebu tuseme haya machache ambayo hayasemwi sana lakini yenye umuhimu sana kwenye maisha ya kila siku ya Watanzania.
Serikali ya Magufuli imefanya jitihada kubwa kwenye kudhibiti mfumuko wa bei na kupunguza kodi ya mshahara (PAYE) kwa wafanyakazi. Mambo haya yanagusa maisha ya Watanzania moja kwa moja. Haya sio mambo madogo, ni makubwa mno.
Hebu kaa uchunguze bei za vitu mbalimbali tangu alipoingia Magufuli. Achana na hujuma za sukari, angalia nauli, bei za vifaa vya ujenzi n.k. Ikumbukwe kuwa kilio cha kutaka punguzo la Kodi mpaka kufika single digit kilikuwepo muda mrefu.
#2020 kura zote kwa John
Amani Msumari
Tanga
Na huyo anayemwoza mama yake barabarani?!!!Nilitaka kusema mbona hujaweka namba ya simu , lakini kwa vile Magufuli anapigwa chini 28/10 , namba yako itakuwa bure tu
MkuuWaungwana, na ijulikane leo kuwa mimi binafsi nimekataa kuwa sehemu ya Watanzania watakaosema tusamehe Magufuli, hatukujua kuwa wewe ni mtu muhimu kwetu Watanzania.