Mimi siko tayari kuwa miongoni mwa watakaosema "I am sorry Magufuli"

Kwa akili yako uliyoishirikisha halmashauri ya kichwa chako unaona inawezekana kila mwaka kuajiri wahitimu wote?
Ajira za walimu kwa wingi ulikuwa ni mpango maalumu wa kuboresha elimu ya msingi na sekondari
Jk aliweka utaratibu mzuri vijana wakaona Kuna fursa kila pahala. Ukitaka kwenda jeshi nafasi zipo, ukitaka Wenda polisi nafasi zipo, ukitaka kwenda uhamiaji nafasi zipo mpaka 2014. Baada ya jpm kuingia tu madarakani akapiga pini kila kitu hamna pa kukimbilia Tena yeye ni madaraja naabarabara tu.
 
Huna hoja, eti kupunguza kodi PAYEE kumewanufaisha wafanyakazi, endeleeni kujidanganya huku wafanyakazi wamedhurumiwa increment za kila mwaka na hakuna nyongeza ya mishahara kwa miaka 5 sasa.
H
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu atajuta huu mwaka

Kwa hizo kura fake? Haachiwi Mungu safari hii, hiyo idadi mliyopanga ya ushindi wa 85%+ tutakutana kwenye mahakama za ukweli huko nje.
 
Maendeleo ya vitu bila watu ni upumbavu...
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]muandamane kwanza kabla hamjaenda kushitaki kwa Robert

The hague haisikilizi tetesi, mwageni damu kwanza ndio mtasikilizwa

Pia kwa kazi aliyoifanya Rais Magufuli ushindi ni 98%
Kwa hizo kura fake? Haachiwi Mungu safari hii, hiyo idadi mliyopanga ya ushindi wa 85%+ tutakutana kwenye mahakama za ukweli huko nje.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]muandamane kwanza kabla hamjaenda kushitaki kwa Robert

The hague haisikilizi tetesi, mwageni damu kwanza ndio mtasikilizwa

Pia kwa kazi aliyoifanya Rais Magufuli ushindi ni 98%
Siku zote mlikuwa mnajifanya mtashinda kwa 90%+, kumbe ndio hizo karatasi mnachapisha zenye idadi ya kubumba. Kuandamana ni lazima mmwage damu kama mlivyomwaga ya Aqwilina, kisha ndio hapo tutafikia mwisho wa hizi hujuma za miaka nenda rudi za ccm kwenye chaguzi zetu.
 
Ccm wamelaumiwa kwa ujumla wao miaka 60 isiyoeleweka
 
Andamana acha kuandika umejificha kwenye kigeto chako

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Kwa kazi aliyoifanya ushindi ni 98%

Hizo porojo zenu tunazisubiri baada ya October 28
 
Jpm hashindi akipata hata 2% mnitag
 
Wewe jamaa kumbe ni kiazi sana, tuambie kg ya sukari ilikuwa sh ngapi JPM akiingia na sasa ni sh ngapi, fanya hivyo hivyo kwa mfuko wa cement. Kwa wafanyakazi walio wengi kuanzia 2015 hakuna ongezeko la mshahara wala kupanda madaraja. PAYE ya asilimia mbili kwa wengine ni kama ishirini tu hivi, hili ni jambo la kujivunia? Hapo sijaweka makato ya Bodi na mauza uza mengine. Huyu mtu ni total failure.
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Wananchi gani unaowazungumzia? Hawahawa waliofanywa fukara nchi nzima. Ajira hakuna, biashara zinakufa kila siku.
 
Andamana acha kuandika umejificha kwenye kigeto chako

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Kwa kazi aliyoifanya ushindi ni 98%

Hizo porojo zenu tunazisubiri baada ya October 28

Utacheka kichina safari hii. Ngoja tuweke ushahidi wote vizuri maana mwenendo mzima wa hujuma uko wazi. Hizo karatasi mnazoprint fahamuni mmeingia hasara.
 
Kwa hizo kura fake? Haachiwi Mungu safari hii, hiyo idadi mliyopanga ya ushindi wa 85%+ tutakutana kwenye mahakama za ukweli huko nje.
Mungu haachiwi kazi uchaguzi huu,ameshatupa maarifa na nguvu za kupambana na adui ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…