Mimi siko tayari kuwa miongoni mwa watakaosema "I am sorry Magufuli"

Huu Uchaguzi ni wa kufundisha adabu

Hamna uwezo wa kushinda Uchaguzi kwa miaka miamoja ijayo

Hivyo vimkwara muwe mnawatishia wachunga punda singida mashariki
Utacheka kichina safari hii. Ngoja tuweke ushahidi wote vizuri maana mwenendo mzima wa hujuma uko wazi. Hizo karatasi mnazoprint fahamuni mmeingia hasara.
 
Dhulma kwa watumishi ni kubwa sana kwa awamu hii.

Kuna ukandamizaji wa haki kwa watumishi hata kwa taasisi binafsi wakiiga tabia ya kiongozi aliyepo.Vyama vya wafanyakazi havifanyi kazi.Kila mtu anahofia maisha yake.Natamani uongozi ubadilike au hata kama hautabadilika abadilike yeye.

Ni kitu kibaya sana kukiuka makubaliano kwenye mkataba wa mfanyakazi tena kwa ubabe tu.
 
Huu Uchaguzi ni wa kufundisha adabu

Hamna uwezo wa kushinda Uchaguzi kwa miaka miamoja ijayo

Hivyo vimkwara muwe mnawatishia wachunga punda singida mashariki

Nakumbuka Kenya hapo KANU walikuwa na kauli za kujigamba kama nyie, leo hii KANU ni historia. Hapo hapo Kenya kulikuwa na wachezea box la kura kama wafanyavyo ccm, ila 2007 heshima ilirejea rasmi kwenye box la kura. Yajayo yatasikitisha.
 
Huko kote ulipotaja ajira zipo
 
Huko kote ulipotaja ajira zipo
We unaishi wapi kwani! Vijana wapo kibao mtaani wanatafuta ajira. Hukuona uwanja wa taifa juzi umejaa nje na ndani kwa ajira tu za eflu tisini. Hali no mbaya na jpm must go kwa maslahi mapana ya vijana
 
Msidanganywe kuwa kila mtu atapata ajira, nasisitiza hata Marekani Kuna changamoto ya ukosefu wa ajira hasa miongoni mwa vijana
 
Usifananishe Ccm na chama cha kijinga kama kanu

Hii Ccm itaongoza kwa miaka miamoja ijayo
Nyie huyo mropkaji wenu na msaliti wa Nchi akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike
Nakumbuka Kenya hapo KANU walikuwa na kauli za kujigamba kama nyie, leo hii KANU ni historia. Hapo hapo Kenya kulikuwa na wachezea box la kura kama wafanyavyo ccm, ila 2007 heshima ilirejea rasmi kwenye box la kura. Yajayo yatasikitisha.
 
Duh! Yaani Hadi umri huo ulio nao hujaacha kujikomba na kujinafikisha ili ule! Nakumegea Siri Ila usimwambie mtu kuwa; " ameapa kuwa akibahatika kurejea ofisini wale wote mnaojdai kujinafikisha ili awateue jitafutieni njia nyingine kwani hahitaji msaada wenu wa kinafiki kwani kwenye mikutano take ya kampeni mmemfedhehesha mno kwa kuwasombelea watu na malori badala ya wao kuja kwa hiyari yao"! Ati mnamdanganya anapendwa ilihali hapendwi! Lakini kiuhalisia wewe binafsi umechangia kuaibika kwake kwa kutomwambia ukweli
Unaonaje ukianza na kuendelea kumuomba radhi kwa kutokumwambia watu hawali madaraja Wala mataruma?
 
Sawa. Nitamshauri aige kwa majirani zetu CHADEMA kwani huko wanakula makombati, operesheni ukuta na sangara
 
Lissu kibaraka wa mabeberu nani ampe kura?. Chama cha Mbowe kitadhalilika mwaka huu, sijui ruzuku za kuwalipa kina Mnyika zitatoka wapi.
 
Wagombea wa ccm huwa wanatuambia Tuache Kutegemea Kuajiriwa Na Serikali, Tujitegemee Na Tujiajiri Wenyewe!! Wakati Wao Wanatuomba Kura Ili Tuwape Ajira Waajiriwe Na wananchi.

TUSAIDIANE MAWAZO HAPA VIJANA WENZANGU, HAWA WATU ZIMO KWELI VICHWANI MWAO ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu
Vp korosho????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…