Mimi Simba ila naomba tufungwe na Azam

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
"Mechi ni ngumu, lakini mimi natamani tufungwe na Azam halafu Yanga watwae kombe la CAFCC ili Simba tupate uchungu tusisajili akina Sawadogo tena"

"Unajua tukishinda na tukafanikiwa kuchukua (FA) navyowajua viongozi wa Simba hawatasajili Wachezaji wa maana na kujiaminisha kuwa tuna timu nzuri wakati sio kweli"

[emoji2399] Nabii Meja
Mwanachama wa Simba Via Ea radio.

NB: Simba mbna wanawachezaji wazuri sana ??????
 
Kwani mnatoka kwa dube? Labda mashinde njaa!!!

Utasikia prince dubeeeeeee ni yule yule kawakojolea tena !!! Hahahhahhaha 😆😆😆.

Timu zote zilizotolewa michuano ya Africa sasahv zinachezea vichapo tu !!!

Niko pale 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
 
Mwamba ni mashine yule
 
Mbona msimu uliopitaa Simba hakuchukua kombe lolote na bado walisajilii wachezaji wa hovyo ambao hakuna ata mmojaa Alie ingia kwenye first 11
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…