mimi sio mgeni jamani

Michigan boy

Member
Joined
Aug 10, 2017
Posts
84
Reaction score
84
wakuu kwema, aisee mangi imenibidi nifungue akaunti mpya ili nijiachie sasa ile ya zamani nilikuwa chata mno arif

hebu tushirikishane ulishawahi kufungua akaunti mpya sababu akaunti yako ya zamani ilikuwa inakuchoresha?

atakaepata kutaja acc yangu ya zamani nina zawad yake
 
be real young fella...just be real!!!

ukiwa halisia huwezi hangaika na maID's lukuki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…